• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Dkt Gwajima: Watanzania wanafahamu na kumiliki mafanikio ya Sekta ya Afya ya Msingi

Imewekwa tar.: August 9th, 2020

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeshika nafasi ya Tatu katika nafasi ya Wizara zilizofanya vizuri katika maadhimisho ya 28 ya Sikukuu za Nanenane 2020  na kuibuka na zawadi ya kikombe katika kilele cha maonesho hayo.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu  Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Dkt. Dorothy Gwajima jana katika kilele cha maonesho ya 28 ya Siku ya NaneNane yaliyofanyika katika viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu.

Aidha Dkt. Gwajima ametumia kilele hicho cha maadhimisho hayo kuwaasa watumishi wa mamlaka za serikali za mitaa kutekeleza kwa weledi na ufasaha wajibu wao katika kuwatumikia watanzania ili waweze kutumia muda wao mwingi kujishughulisha na maendeleo ya kiuchumi na siyo kufuatilia ufumbuzi wa kero zao zinazozuilika.

“Ofisi ya Rais TAMISEMI imesogezwa katika viganja vyenu Wananchi kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano hivyo ni vyema Watanzania mkatumia fursa hiyo kwa kupiga namba 026 2160310 na kuwasilisha shida au kero zenu kwenye kituo chetu cha huduma kwa wateja hatua itakayowasaidia kuepuka gharama za safari zisizo za lazima kuja Dodoma kufuatilia jambo ambalo ufumbuzi wake ungepatikana kwa kuzungumza tu kupitia huduma hii”ameelezaDkt. Gwajima.

Dkt. Gwajima amesema kuwa niimani yake kama watanzania watatumia namba hiyo ipasavyo basi itasaidia katika kulinda na kukuza uchumi wa kati kwani hawatapoteza muda wala fedha kugharamia safari za kwenda Dodoma kufuata huduma ambayo imesogezwa kiganjani kwake bali atapata ufumbuzi na mara moja kurejea kwenye utekelezaji wa majukumu yake ya kujenga familia naTaifa.

Pia Dkt. Gwajima ameeleza kwa ufasaha majukumu yaTAMISEMI kwamba kwa ufupi ni yamejikita katika kuimarisha ushirikishwaji wa Wananchi wenyewe  wa weze kutekeleza mipango yao inayogusa maisha yao ya kila siku  ikiwemo huduma za jamii zaAfya, Elimu na Miundombinu katika maeneo yao Ufuatiliaji na uratibu wa utekelezaji wa malengo ya kisera ni jukumu la Ofisi ya RaisTAMISEMI ili kuwezesha msukumo chanya katika kufikia malengo ya kitaifa najukumu hili ni kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 ibara ya 146.

“ Kupitia maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli kwa pamoja tumeweza kushirikiana katika kusukuma maendeleo eneo la afya ya msingi na kufanikiwa kusogeza huduma hizi karibu zaidi na Wananchi kwa kuwezesha ujenzi wa Zahanati 1198, Vituo vya Afya 487 na Hospitaliza Halmashauri 99, Tayari huduma zimeanza kutolewa katika vituo mbalimbali nchini ameeleza”, Dkt. Gwajima.

“Haya ni mapinduzi makubwa katika nchi yetu kwani unaposema zahanati kwenye Vijiji na vituo vya afya kwenye Kata tafsiri yake ni kuwa huduma zimesogezwa kwa wananchi hivyo hawatapoteza muda tena kwenda umbali mrefu kufuata huduma hizi bali watapata huduma kwa wakati na kurejea kwenyes hughuli za maendeleo zinazochangia kulinda na kukuza uchumiwa kati”, amesisitizaDkt. Gwajima.

Kwa kuongezeaDkt. Gwajima amesema ukubwa wa upanuzi wa miundombinu unalenga kutimiza maono ya Rais Magufuli ya  kumfikia mtanzania mnyonge asiye na uwezo wa kugharamia safari ndefu za kufuata huduma za afya na huu ni mwanzo kwani kazi bado inaendelea.


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.