• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Dkt. Dugange – Wala rushwa, Watumia lugha chafu Wachukuliwe hatua Kituo cha Afya Sinza

Imewekwa tar.: November 25th, 2021

Na Fred Kibano, D’Salaam

Serikali imeuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo kuwachukulia hatua watumishi wasio waadilifu maramoja na kuwasilisha taarifa yao Ofisi ya Rais TAMISEMI kabla ya tarehe 30 Desmba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ktuo cha afya Sinza wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange amesema Serikali haitamvumilia mtumishi yeyote ambaye anatumia lugha chafu kwa wagonjwa, kula rushwa na kujihusisha na vitendo vya.

Dkt. Dugange amesema kituo cha afya cha Sinza kimekuwa kikilalamikiwa kwa vitendo vya rushwa vilivyokithiri lakini pia kushindwa kutoa dawa kwa asilimia 95 wakati makusanyo ya fedha ni makubwa.

“kituo cha afya Sinza eneo la kwanza ni ukosefu au upungufu wa dawa, eneo la pili linalolalamikiwa ni kukithiri kwa vitendo vya rushwa kwa baadhi ya watumishi wasio waaminifu lakini pia matumizi ya lugha chafu kwa wagonjwa” alisema Dkt. Dugange.

Dkt. Dugange ameagiza kuwekwa mfumo madhubuti wa ununuzi na udhibiti wa dawa baada ya kubaini baadhi ya taarifa zinazokinzana bila ya kutolewa kwa maelezo ya msingi na hivyo kuagiza pia kuongeza mapato ya kituo hicho cha afya hadi kufikia milioni 150 kwa mwezi ifikapo Desemba 30, 2021.

Aidha, amewataka kuongeza kiwango cha upatikanaji wa dawa kutoka asilimia 80 hadi 85 hadi kufikia asilimia 95 na asilimia 100 kwa dawa zote muhimu. Ametaka kushirikishwa kwa timu ya ununuzi wa dawa kukaa kwa pamoja na kununua dawa zitakazokuwa na tija kwa wananchi.

Ameagiza vituo vya afya vyote nchini kuhakikisha upatikanaji wa dawa zote muhimu kufikia asilimia 100 na pia kuongeza usimamizi na ufanisi katika kutoa huduma huduma bora kwa watanzania

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ameahidi kutoa taarifa ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya watumishi wasio waadilifu kabla ya tarehe 30 Desemba, 2021 lakini pia kuhakikisha upatikanaji wa dawa kwa zaidi ya asilimia tisini na tano na kurudisha hali ya uwajibikaji ikiwa ni pamoja na watumishi kuacha kutoa lugha chafu kwa wagonjwa.

Awali akitoa maelezo kwa Naibu Waziri OR TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Sinza Dkt. Leonard Mwamkoa amesema jumla ya watumishi watano ambao wametuhumiwa na wagonjwa kujihusisha na vitendo vya rushwa wamekwisha chukuliwa hatua za kinidhamu na mashauri yao yapo katika hatua mbalimbali.

Dkt. Leonard Mwamkoa amesema pia kuna baadhi ya madaktari wamekuwa na tabia ya kuwaandikia wagonjwa dawa ambazo hazipo hospitalini hapo ili wakanunue kwenye maduka ambayo wanamaslahi nayo wakati dawa mbadala zipo kwenye kituo cha afya na kwamba suala limefanyiwa kazi.


Matangazo

  • Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Juni 2023 June 05, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI APRILI, 2023 April 12, 2023
  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMUZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA - DODOMA

    May 31, 2023
  • MIKATABA YA UTEKELEZAJI MRADI WA UENDELEZAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM DMDP 2 YASAINIWA

    May 30, 2023
  • DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA ALAT

    May 30, 2023
  • WANANCHI KIJIJI CHA MAJALILA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA SHULE

    May 23, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.