Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

DC Simanjiro Azindua Mradi wa MsingiTek Ataka Vifaa vya TEHAMA Vilindwe na Usalama wa Wanafunzi Uimarishwe

Imewekwa tar.: May 7th, 2025

Angela Msimbira Simanjiro, MANYARA

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara,Mhe.Fakii Raphael Lulandala ameongoza uzinduzi wa Mradi wa MsingiTek wilayani humo, akitoa wito kwa Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanasimamia kwa umakini utunzaji na matumizi sahihi ya vifaa vya TEHAMA vinavyotolewa na Serikali na Wadau wa Maendeleo.

Akizindua mradi huo leo Mei 7, 2025 katika  shule ya msingi Losinyai, Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkuu huyo wa Wilaya amewataka Viongozi hao kuhakikisha vifaa kama vishikwambi vinavyotolewa kupitia mradi wa MsingiTech vinatunzwa ipasavyo na kutumika kama ilivyokusudiwa — kusaidia kujenga Stadi za msingi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu kwa wanafunzi wa madarasa ya awali.

“Ni wajibu wa kila Halmashauri kuhakikisha vifaa hivi havipotei wala kuharibika, bali vinatumika kuongeza ufanisi wa ujifunzaji. Huu ni uwekezaji mkubwa wa Serikali na wadau wake kwa ajili ya kizazi kijacho,” amesisitiza.

Mradi wa MsingiTek unaotekelezwa kwa ushirikiano kati ya Serikali na shirika la Imagine unalenga shule 500 katika mikoa mitano ya Tanzania Bara. Katika Wilaya ya Simanjiro, shule za msingi zilizohusika katika awamu ya kwanza ni pamoja na Shule ya Msingi Losinyai, Shule ya Msingi Emboreet, na Shule ya Msingi Naisinyai, ambapo wanafunzi wamekabidhiwa vishikwambi vyenye programu maalum za masomo ya awali.

Pia,  amezihimiza Halmashauri kuhakikisha zinakuwa na mikakati thabiti ya kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya unyanyasaji, hasa kwa kuzingatia mazingira ya matumizi ya teknolojia. 

Aidha, amesisitiza umuhimu wa upatikanaji wa chakula shuleni kama njia ya kupunguza utoro na kuongeza umakini wa wanafunzi darasani.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Shirika la Imagine Tanzania Bi. Jaqline Mgumia  amesema shirika hilo linafurahia kushirikiana na Serikali katika kutekeleza mradi wa MsingiTech, ambao unalenga kuleta mapinduzi chanya katika ujifunzaji kwa watoto wadogo kwa kutumia teknolojia.

“Tumeshuhudia matokeo chanya katika maeneo tuliyofikia. Watoto wanapata hamasa ya kujifunza kupitia michezo ya kielimu kwenye vishikwambi, na walimu nao wamerahisishiwa kazi ya kufundisha,” amesema Bi. Mgumia

Akiwahutubia wanafunzi wa Shule ya Msingi Losinyai, Mhe. Lulandala amewasihi wanafunzi hao kuvitunza vishikwambi walivyopewa, huku akisisitiza kuwa vifaa hivyo ni mali ya Umma na vina thamani kubwa kwa maendeleo yao.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • WAACHENI WATOTO WAENDE SHULE- RAIS SAMIA

    June 16, 2025
  • NIMESAINI NOTISI ZA KUVUNJA MABARAZA YA MADIWANI - MCHENGERWA

    June 15, 2025
  • MANYARA BINGWA RIADHA WASICHANA NA WAVULANA MITA 1,500

    June 15, 2025
  • MHE MCHENGERWA AWATAKA MA RC, DC KUONGOZA JOGGING KWENYE MAENEO YAO

    June 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.