Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Chaula aagiza kukamilishwa boma la kituo cha afya Mkunya Newala Mji

Imewekwa tar.: June 10th, 2018

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya), Dkt. Zainab Chaula ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Mji Newala kumalizia boma la kituo cha afya Mkunya kabla ya kujenga maboma mapya.

Dkt. Zainab Chaula ametoa kauli hiyo wakati akikagua ujenzi na ukarabati wa kituo cha afya Mkunya kilichopo halmashauri ya Mji Newala, mkoani Mtwara hivi karibuni.

Dkt. Chaula amesema tayari kuna shilingi milioni 180 za kumalizia kituo hicho, mbali na milioni 500 zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi, lakini kabla ya kujenga majengo mengine ni lazima kumalizia jengo kubwa la kituo hicho na miundombinu mingine ifuate ili kukikamilisha ndani ya muda mfupi lengo likiwa kutoa huduma bora za afya karibu.

“ni lazima tutengeneze huduma ziwe nzuri, milioni 180 zitumike kukamilisha boma hili, lakini zile fedha milioni 500 zitumike kujenga miundombinu mingine ili kuboresha huduma za afya”

Halmashauri ya Newala Mji ina hospitali moja ya wilaya na zahanati kadhaa lakini haina kituo cha afya na hivyo kujengwa kwa kituo hicho ni mkombozi kwa wananchi.

Wakati huo huo, Dkt. Chaula, ameongea na watumishi wa hospitali ya Mji Masasi Mkomaindo na kuwataka watumishi hao kuwa na umoja na lugha nzuri ili kuboresha mapato ya hospitali hiyo.

“hapa hakuna ushirikishaji, kila idara isimamie mapato tuwe na motisha, kila mmoja atimize wajibu wake”

Aidha, Chaula amewataka kupanda miti ya matunda katika maeneo ya hospitali mkoani Mtwara ili kuboresha lishe badala ya kupanda miti ya kivuli pekee.

Kwa upande wake, Dkt. Dorothy Gwajima Mkurugenzi wa Tiba toka Wizara ya Afya amewaasa watumishi hao kuimarisha huduma kwa wateja ili kuongeza mapato ya hospitali hiyo badala ya kuilalamikia Serikali kwa kila jambo.

Naye Bi. Emma Kuchehe mwananchi Masasi Mji, amesema huduma zinazotolewa kituoni hapo ni nzuri na anawashukuru watumishi wote lakini anaomba Serikali iongeze majengo ya hospitali.

Dkt. Zainab Chaula amehitimisha ziara yake ya kikazi iliyoanza tarehe 4 hadi Juni, 2018 mkoani Mtwara na kurejea Jijini Dodoma kuendelea na majukumu mengine.

                                                                                                Imeandikwa na. Fred Kibano


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI.

    May 24, 2025
  • SOKO LA KISASA LA NYAMA CHOMA LAZINDULIWA VINGUNGUTI

    May 24, 2025
  • DKT. Biteko asisitiza wazazi kuthamini nafasi ya familia katika malezi na makuzi ya mtoto.

    May 24, 2025
  • Mhe. Rais Samia amtaka Prof. Nagu kuboresha  huduma ya afya ya msingi.

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.