Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

BILIONI 18 ZATUMIKA KUNUNULIA VIFAA VYA TEHAMA KWA AJILI YA ELIMU SEKONDARI

Imewekwa tar.: December 18th, 2024

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchemgerwa amesema Serikali kwa kutambua umuhimu wa matumizi ya TEHAMA katika ujifunzaji na kujenga umahiri uliokusudiwa kwenye Mitaala kwa wanafunzi wa Sekondari, katika kipindi cha mwaka 2023/2024, Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 18 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya TEHAMA, ambapo kupitia Programu ya SEQUIP, Shule za Sekondari 1,500 zinatarajiwa kunufaika.

Akizungumza leo Desemba 18, 2024 kwenye uzinduzi wa ugawaji wa vifaa vya TEHAMA kwa Shule za Sekondari nchini iliyofanyika katika Shule Maalum ya Wasichana ya Sayansi ya Mkoa wa Dar es salaam iliyopo Manispaa ya Ubungo, Mhe. Mchengerwa amesema vifaa hivyo vinalenga kuimarisha ujifunzaji na ufundishaji kwa njia ya kisasa kwa kutumia na kujifunza TEHAMA ili kuendana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia Duniani.

Amesema matumizi ya vifaa vya TEHAMA ni moja ya afua na viashiria vya utekelezaji wa mradi wa SEQUIP inayolenga kuboresha ufundishaji na ujifunzaji kupitia TEHAMA katika Shule za Sekondari. 

Kupitia utekelezaji wa mradi wa SEQUIP jumla ya Shule za Sekondari 1,500 zinatarajiwa kunufaika kwa kupata vifaa vya TEHAMA. Kwa leo hapa tunatoa vifaa kwa shule 231 ambazo ni sehemu  ya shule hizo 1,500 zitakazonufaika na mpango huu. 

 Katika kufanikisha azima hii, Serikali ilianza kutoa mafunzo ya matumizi ya TEHAMA na huduma ndongondogo ya vifaa hivyo kwa walimu 3,132 wa Shule za Sekondari. 

 Utoaji wa mafunzo kwa walimu hawa unalenga kuhakikisha walimu wamejengewa uwezo katika kutunza Vifaa vilivyonunuliwa, kutumia vifaa kwa ufasaha ikiwemo kuwaelekeza wanafunzi na kufanya huduma ndogondogo inapotokea hitilafu katika vifaa husika.

 Aliongeza kuwa manunuzi ya vifaa vya TEHAMA yamezingatia mwongozo wa SEQUIP ( ICT package) kwa kila Shule ya Sekondari inayonufaika. Kufuatia mwongozo huo vifaa vilivyonunuliwa ni  Kompyuta za mezani 1,848, UPS 462, Kompyuta Mpakato 231, Projekta 231 na Projekta “screen” 231

 Serikali inaamini kuwa, Matumizi ya vifaa vya TEHAMA ambavyo usambazaji wake unazinduliwa leo yataleta mapinduzi makubwa katika ujifunzaji na ufundishaji katika Shule za Sekondari. 

Kupitia vifaa hivi, walimu wataongeza ufanisi katika ufundishaji na wanafunzi watapata maarifa ya ziada wakati wa kujifunza.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.