• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Bashungwa aridhishwa uandikishaji, kuripoti kidato cha kwanza

Imewekwa tar.: January 17th, 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa ameonesha kuridhishwa na undikishwaji na kuripoti kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza huku akisisitiza kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuajiri walimu na kuongeza matundu ya vyoo katika shule za umma.

Waziri Bashungwa ameyasema  hayo leo jijini Dodoma  wakati wa ziara ya kutembelea shule ya Sekondari ya Chamwino iliyoko katika Halmashauri ya  wilayani Chamwino Kwa lengo la kujionea wanafunzi walioripoti shule kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza na msingi ambao wamenufaika na ujenzi wa madarasa 15,000.

Amesema baada ya Serikali kukamilisha madarasa kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza, Ofisi ya Rais-TAMISEMI imeanza mazungumzo na wizara ya utumishi kwa ajili ya kuajiri walimu sambamba na ujenzi wa matundu ya vyoo.

Aidha, amewaagiza wakuu wa Mikoa, Wilaya, wakurugenzi wa halmashauri  na maafisa elimu wa ngazi zote kuhakikisha wanasimamia kazi nzuri iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha wanafunzi waliofaulu wanaripoti shule na wenye umri wa kwenda shule wanaandikishwa sambamba na kusimamia miundombinu hiyo.

" Rais Samia amehakikisha kunakuwa na mahali pazuri pa kusomea kama hapa Shule ya Sekondari Chamwino, nielekeze wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi maafisa elimu ngazi zote wahakikishe wanafunzi waliofaulu wanaripoti shuleni na wale wenye umri wa kuanza shule waandikishwe."amesema  Waziri Bashungwa

Aidha, Bashungwa ameziagiza halmashauri kuhakikisha inatumia sehemu ya mapato ya ndani kujenga nyumba za walimu sambamba na kupunguza sehemu ya fedha kutoka Serikali kuu kuelekeza katika ujenzi wa nyumba hizo lengo likiwa ni  kuweka mazingira mazuri.

" Sio hivyo tu pia Rais Samia anawajali walimu wake, hivyo  ni vyema kuhakikisha tunalinda na kutetea maslahi ya walimu ikiwemo kupandishwa madaraja."amesisitiza Waziri Bashungwa.

Amemuagiza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI  kuhakikisha maeneo yote ya Serikali zikiwemo shule, vituo vya afya na Hospitali za Wilaya kupimwa na kuatiwa hati ili kuwa na ulinzi na kuepusha uvamizi.

Naye Katibu Tawala Wilaya ya Chamwino, Neema Nyerege amesema wilaya ya Chamwino ilipokea Sh bilioni 2.9 kwa ajili ya kujenga madarasa 146 ya sekondari na vituo shikizi.



Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.