• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo

BASHUNGWA AAGIZA UKAMILISHAJI WA UJENZI WA VITUO VYA AFYA 233 KABLA YA APRILI 2022.

Imewekwa tar.: March 16th, 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa  ameziagiza Halmashauri zote nchini zilizopokea fedha kuanzia mwezi Oktoba – Disemba 2021 kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya afya 233  kuhakikisha vinakamilika ifikapo tarehe 30 Aprili, 2022.

Akiongea na Waandishi wa Habari leo tarehe 16 Machi, 2022 baada ya kukagua  maendeleo ya ujenzi wa kituo cha afya cha Igawilo Halmashauri ya Jiji la Mbeya Mkoani Mbeya Waziri Bashungwa amesema  halmashauri ambazo haitakamilisha  ujenzi  hawatapewa fedha  za kuendeleza ujenzi.

Bashungwa amesema  kwa Halmashauri zitakazoshindwa kukamilisha ujenzi  kwa wakati uliotolewa na Serikali, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi  Watendaji  wa Halmashauri  watachukuliwa hatua za kinidhamu, hivyo amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kuhakikisha wanasimamia ukamilishaji huo.

Ameagiza majengo yote ya kutolea huduma  yaliyokamilika  katika maeneo mbalimbali nchini  kuanza kutoa huduma  kwa wananchi  na sio kuyaacha na kuwa kama magofu, watakaobainika  majengo yamekamilika na hayatumiki serikali haitasita  kuwachukulia hatua.

Vilevile,  Waziri Bashungwa  amesema Jumla ya shilingi bilioni 243.9  zimetolewa  katika kipindi cha mwezi Julai 2021 hadi Februari,2022 kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya kutolea huduma ya msingi .

Amefafanua kuwa fedha  kiasi cha shilingi  bilioni 113.7  ruzuku ya ndani kwa mwaka 2021/22 zimetumika kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali za Wilaya 104, shilingi Bilioni 66.3 kwa ajili ya kuendeleza na kukamilisha Ujenzi wa Hospitali hizo ambazo zilianza ujenzi katika mwaka wa fedha 2018/2019 na 2019/2020.

Waziri Bashungwa ameendelelea kusema  jumla ya shilingi bilioni 21.8 kwa ajili ya ukamilishaji na ukarabari wa vituo vya afya 61, bilioni 22.6 kwa ajili ya ukamilishaji  wa zahanati 141 na ununuzi wa  vifaa tiba bilioni 3.1 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba kwenye vituo  vya kutolea huduma za afya.


Aidha, Jumla ya Shilingi billioni 44.5 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa Majengo ya dharura 80, Wagonjwa mahututi majengo 26, Kituo cha matibabu ya magonjwa ya mliopuko 1 na Nyumba za watumishi 150(3 in 1) ambazo zitachukua familia 450.


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.