Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Waziri Mchengerwa aipongeza TARURA, Ujenzi wa madaraja ya mawe kwa gharama nafuu

Imewekwa tar.: August 19th, 2024

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameipongeza  wakala wa ujenzi wa barabara za vijijini TARURA kwa ubunifu wanaoutumia katika ujenzi wa madaraja ya mawe yanayowaunganisha wananchi katika maeneo ya vijijini na barabara muhimu katika shughuli zao za biashara na huduma za kijamii na kiutawala.

Waziri Mchengerwa amesema ubunifu wanaoutumia TARURA ni jambo linalohitaji kupongezwa kwa namna wanavyo ishirikisha jamii husika katika ujenzi na ukarabati wa barabara, madaraja na maeneo korofi ambayo yamekuwa kero kwa wnanachi kwa muda mrefu.

Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake Mkoani Kigoma, alipotembelea daraja la mawe la Bweru liliko kijiji cha Mgalaganza halmashauri ya Kigoma Vijijini , linalo ziunganisha kata za Bitale na kata ya Kagongo lilojengwa  kwa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania kupitia wakala wa barabara za vijijini TARURA na ubalozi wa Uberigiji likigharimu milioni 101, huku mchango wa wananchi katika ujenzi huo ukiwa ni nguvu kazi ya kusogeza mawe na vifaa wakati wa ujenzi mchango huo ukithaminishwa kuwa shilingi milioni tatu kwa ujumla wake.

“TARURA nawapongeza kwa kuendelea kuwa wabunifu na kuwezesha mawasiliano baina ya kijiji na kijiji, kata na kata na halmashauri na halmashauri, kwakweli mnafanya kazi nzuri, ujenzi wa daraja hili ni hatua tosha inayowafanya mstahili kupongezwa” alisema Waziri Mchengerwa.

“ Tumeelezwa na mtaalam kuwa kama daraja hili lenye urefu wa mita 27, lingejengwa kwa mfumo wa kawaida basi lingegharimu zaidi ya shilingi milioni 600, lakini kwa ujenzi wa mfumo huu au teknolojia hii ya mawe na ushirikishwaji wa wananchi limegharimu shilingi milioni 101, hili ni jambo la kupongeza na huu ndiyo ubunifu tunaousisitiza” aliongeza waziri Mchengerwa.

Akizungumza kwa niaba ya wakazi wa Kigoma vijini Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma Mhe. Joseph Nyambwe amesema wenyeji wanautafasiri ujenzi wa daraja hilo kama ukombozi wao katika hali duni ya kimaisha kwani sasa wataweza kusafiri kwa urahisi na kusafirisha mazao yao ya chakula na biashara kwa uhakika na kwa wakati kwa njia ya barabara.

“Mhe. Waziri kwakweli sisi wananchi wa Kigoma Vijijini tunakushukuru sana sana, kwa kuliwezesha hili, tunampongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikia kilio cha Wanakigoma, tulikuwa tunateseka sana, tukilazimika kusafiri umbali wa zaidi ya kilometa 50 kufuata huduma za kiserikali na kitabibu, lakini kwa ujenzi wa daraja hili la Bweru sasa tunasafiri umbali wa kilometa mbili, kutoka kwenye makazi yetu mpaka zilipo huduma muhimu za kiutawala na kijami”. alisema Mhe. Joseph Nyambwe.

Kwa mujibu wa Meneja wa TARURA wilaya ya Kigoma Mhandisi Elias Muttapima ujenzi wa daraja hilo unafungua njia kwa wakazi wa kata za Kagongo, Bweru, Bitale na Mahembe  kwa kuwaunganisha na barabara za Mwandiga , Manyugu pamoja na Barabara ya Kasuru ambazo ni barabara muhimu katika shughuli za kibiashara, usafiri na usafirishaji wa mazao.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NIMESAINI NOTISI ZA KUVUNJA MABARAZA YA MADIWANI - MCHENGERWA

    June 15, 2025
  • MANYARA BINGWA RIADHA WASICHANA NA WAVULANA MITA 1,500

    June 15, 2025
  • MHE MCHENGERWA AWATAKA MA RC, DC KUONGOZA JOGGING KWENYE MAENEO YAO

    June 14, 2025
  • MANYARA NA MWANZA MABINGWA RIADHA MITA 800 

    June 14, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.