• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Waziri Jafo awataka Ilemela kukamilisha haraka mradi wa standi.

Imewekwa tar.: January 4th, 2021

Na Atley Kuni, Mwanza

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jafo ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, kuhakikisha unasimamia kikamilifu ujenzi wa stand unaoendelea ili ukamilika kwa wakati kama ilivyo pangwa.

Waziri Jafo, ametoa kauli hiyo muda mfupi baada yakutembela na kukagua ujenzi wa mradi wa stendi ya mabasi na maegesho ya malori wa Nyamongolo jijini Mwanza, leo Januari, 4, mwaka huu.

Mradi huo unatekelezwa na Halmashauri ya Ilemela ikiwa ni moja ya mradi wa kimkakati utakao iwezesha manispaa hiyo kujiongezea mapato ya ndani pindi utakapo kamilika.

“ Nimefarijika kwa ukubwa wa standi hii ya mfano kwani ninaamini katika kanda nzima ya ziwa hakuna standi kama hii, lakini kikubwa katika hili ni ukamilishaji wa ujenzi kwa wakati.

“ Jambo la pili ni hatua ya uendeshaji wake, lazima halmashauri muwe na Ownership (umiliki), hivyo mnapo fikiria juu ya nani aweze kuendesha standi hii lazima awe ni mtu mwenye nidhamu na kutambua mamlaka ya Manispaa na aserikali kwa ujumla,” anasema Jafo.

Mpaka sasa Manispaa ya Ilemela imepokea kutoka Serikalini kiasi cha Sh bilioni 10.1 ikiwa ni fedha kwa ajili ya miradi miwili ya stendi ya mabasi na maegesho ya malori kama sehemu ye fedha za miradi ya kimkakati inayotekelezwa nchi nzima.

Miundominu inayojengwa katika kituo hicho ni maegesho ya mabasi yenye kilomita za mraba 18,000 ikiwa na uwezo wa kuhudumia mabasi 120 kwa wakati mmoja.

Stendi hiyo pia itakuwa maduka, migahawa, sehemu za kukatia tiketi, benki, maduka ya rejereje 74, pamoja na vibanda vya askari viwili na vibanda vya kusubiria usafiri viwili.

Kwa upande wa maegesho ya malori taarifa inaonesha kutakuwa na nyumba ya kulala wageni wenye uwezo wa kuchukua watu 100 kwa wakati mmoja, eneo la maegesho ya malori 100 kwa wakati mmoja, vibanda vya askari viwili, vyoo vya kulipia viwili na ghala lenye uwezo wakutunza mizigo kwa ujazo wa mita za mraba 5,400, pamoja na karakana ya magari yenye uwezo wakuhudumia magari manne kwa wakati mmoja.

Kwa mujibu wa Mchumi wa Halmashauri hiyo, Mophen Mwakajonga, kukamilika kwa Standi hiyo, kutaiwezesha Manispaa ya Ilemela kukusanya ushuru usiopungua, kiasi cha Sh bilioni 2 kwa mwaka ikiwa ni makadiri ya sasa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • TANGAZO LA KAZI - TOA July 22, 2022
  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MJINI MAGHARIBI, PEMBA ZATWAA UBINGWA MPIRA WA MEZA

    August 17, 2022
  • ‘TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA’ BASHUNGWA

    August 17, 2022
  • Utekelezaji wa Miradi ya Elimu isimamiwe na kukamilika kwa wakati- Dkt. Msonde

    August 15, 2022
  • UBUNIFU KIVUTIO UMISSETA 2022

    August 15, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.