Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Waziri Bashungwa aagiza vituo vya huduma kwa wateja kila Mkoa

Imewekwa tar.: January 18th, 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe kuweka mikakati ya uanzishwaji wa Kituo cha kutolea huduma kwa wateja kwa kila Mkoa ili kurahisisha utoaji wa Huduma bora kwa wananchi.

Ametoa agizo hilo leo wakati alipotembelea Kituo cha Huduma kwa wateja cha Ofisi ya Rais –TAMISEMI kwa lengo la kuangalia  maelekezo aliyoyatoa  kuhusu maboresho ya kuhakikisha huduma bora inatolewa kwa wananchi.

“Nimeridhishwa na utendaji kazi wa watumishi wa Kituo cha Kutolea Huduma kwa Wateja cha Ofisi ya Rais –TAMISEMI lakini ingekuwa vyema vituo hivyo  vingekuwa vinapatikana katika ngazi ya Mikoa ili kuwarahisishia wananchi  kupata huduma kwa haraka tofauti na sasa mpaka wapige simu Wizarani kutatuliwa kero zao, hivyo tunawajibu wa kuweka mikakati ya kushusha huduma hizo mikoani kuwapunguzia adha wananchi kufuata huduma ngazi ya Wizara” Amesisitiza Waziri Bashungwa

Amemuagiza katibu Mkuu huyo kuhakikisha anatafuta rasilimali fedha na vifaa ili kuhakikisha ule makakati wa  kuweka nguvu na kuimarisha Sekretarieti za Mikoa katika utoaji wa huduma bora kwa wananchi  kuanzia ngazi ya kijiji, kata, Tarafa , Wilaya na Mkoa unafanikiwa.

Ameagiza kuwa  Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa ndio watakaokuwa wasimamizi wakuu wa vituo hivyo vya kutolea Huduma kwa wateja lengo likiwa ni kuhakikisha huduma bora inapelekwa kwa wananchi kwenye maeneo yao na kuwapunguzia  adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma Wiazarani.

“Jambo hili limeanza vizuri ngazi ya Wizara, hivyo tuimarishe kwenye Mikoa ili kuweza kuwasaidia wananchi, hivyo nawaagiza kuhakikisha tunaweka mikakati ya kila Mkoa kuwa na Kituo cha Huduma kwa wateja ili wananchi wanapohitaji huduma  kutoka Mikoani wanakuwa na namba ambazo wanaweza kupiga badala ya  kutoka Vijijini  kuja kupata huduma Wizarani.” Amesisitiza Waziri Bashungwa

Naye Msimamizi wa Kituo cha Huduma kwa Wateja  Bi. Antelma Mtemahanji  amesema kuwa lengo la kuanzishwa kwa kituo hicho ni kuwasaidia wananchi waliokuwa wakitembea umbali mrefu  kutoka vijijini hadi kufika Ofisi ya Rais –TAMISEMI  kufuata huduma mbalimbali za kiofisi  na toka kituo kimeanzishwa mwaka 2020  hadi sasa  simu 125, 381 zilizopokelewa na kufanyiwa kazi  katika kituo hicho.

Aidha , amesema  kabla ya kuanzishwa kwa kituo hicho Ofisi ya Rais –TAMISEMI ilikuwa ikipokea wateja 100 hadi 120  ambao walikuwa wakifika ofisini kufuata huduma, lakini hali hiyo kwa sasa imepungua na kupunguza mlundikano wa wananchi kufuata huduma Wizarani


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Msovela: Fanyeni Kazi Kama Timu Kuleta Maendeleo

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.