• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM 28,968 WABAINISHWA NA KUANDIKISHWA SHULE NCHINI

Imewekwa tar.: March 7th, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassani amesema katika mwaka 2020/2021 Serikali ilifanya ubainishaji wa watoto wenye mahitaji maalum ambao wamefikia umri wa kwenda shule na kubaini jumla ya watoto 28,968 wenye mahitaji maalum  kati ya watoto 59,784 waliochunguzwa na tayari watoto hao wameandikishwa shule.

Akihutubia wananchi katika ziara Maalum aliyoifanya leo tarehe 07 Machi, 2022 katika Shule ya Sekondari Benjamini Mkapa ikiwa ni ahadi aliyoitoa  siku ya kuzaliwa kwake mnamo tarehe 27 Januari, 2022 Mhe. Samia amesema  Serikali ilifanya ubainishaji katika kata 3785 sawa na asilimia 95.7  ya kata zote nchini ambazo ni 3956.

Ameendelea kufafanua kuwa Serikali iliamua kufanya ubainishaji  wa watoto wenye mahitaji maalum kwa lengo la kuhakikisha watoto wote waliofikisha umri wa kuanza darasa la kwanda wanaandikishwa na kupata fursa ya kupata  elimu nchini.

“ Hatutakubali mtoto wa kitanzania akose elimu kwa sababu  ya changamoto  ya kimaumbile kwa kuwa kila mtoto anahaki ya kupata elimu ili iweze kumsaidia kimaisha na taifa kwa ujumla” amesisitiza Mhe. Samia.

Amesema Serikali itaendelea kutoa fedha kuhakikisha wanajenga mazingira wezeshi  kwa watoto wenye mahitaji maalum ili kuwawezesha kupata elimu katika mazingira bora ya kufundisha na kujifunzia nchini.

Aidha amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga uelewa kwa jamii, kuhusu utambuzi , uandikishaji  na uchukuaji wa hatua  stahiki kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika ngazi zote za elimu kupitia makongamano, vyombo vya habari  na majukwaa mengine ya kimataifa.


Amewaagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt. Adolf Mkenda kuhakikisha wanaifanyia kazi miongozo hiyo ili watoto wenye mahitaji maalum wanakaa vyema na wanapata fursa zinazotolewa na Serikali katika sekta ya elimu nchini.


Amesema Serikali imeendelea kujenga shule na madarasa kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum  na jumuishi  ambapo Serikali imeshatumia kiasi cha shilingi bilioni 5.49 kwa ajili ya  kununua vifaa kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum  katika elimu msingi, sekondari na vyuo.


Amesema katika mwaka 2020/2021 Serikali imechapa na kusambaza vitabu  vya maandishi yaliyokuzwa  kwa masomo yote kuanzia darasa la Kwanza hadi la saba kwa ajili ya wanafunzi wenye uono hafifu au wasioona kabisa.


Aidha amesema kuwa Serikali imetoa zaidi ya shilingi  milioni 700 kwa ajili ya uchapaji wa  vitabu hivyo kwa masomo ya sanaa, sayansi na biashaa  kuanzia kidato cha kwanza a hadi kidato cha nne na itaendelea kwa kidato cha tano na sita miundombinu ya madarasa


Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.