Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

WAKANDARASI WANAOJENGA BARABARA ZA TACTIC JIJINI ARUSHA KAMILISHENI UJENZI KWA WAKATI MHANDISI MATIVILA

Imewekwa tar.: February 1st, 2025

Arusha

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tamisemi anayeshughulikia Miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila ameagiza wakandarasi wanaojenga barabara za Engosheraton, Olasiti na Oljoro patakapojengwa stendi mpya ya mabasi kwa Jiji la Arusha zikamilike kwa wakati.

Agizo hilo lilitolewa Jijini hapa na Mhandisi Mativila wakati alipotembelea barabara  hizo tatu zenye urefu wa kilomita 12.1 kupitia Mradi wa Kuboresha Miji  (TACTIC) uliopo chini ya TARURA.

Alisema barabara hizo tatu za Engosheraton, Olasiti na Oljoro zenye thamani ya shilingi bilioni 15.4 zinajengwa kwa kiwango cha lami lakini bado ukamilishwaji wake upo nje ya muda.

Akizungumza mara baada ya kutembelea barabara hizo Mhandisi Mativila alisema ziara hiyo ni ya kawaida katika kuangalia maendeleo ya kazi zinazofanywa katika ujenzi wa barabara hizo.

“Ujenzi wa barabara ya Oljoro bado upo nyuma kwa asilimia 35 kutokana na kubadilishwa kwa mchoro(dizaini) kutokana na kiwango chake cha usanifu na kuwa barabara ya Mkoa kutokana na ujenzi wa stendi mpya ya mabasi”.

“lakini pia barabara hii itakuwa ni kiunganishi cha barabara kuu inayoenda hadi Dodoma hapo baadaye”Aliongeza Mhandisi Mativila.

Hata hivyo alisema  tathimini ya kuongeza muda wa ujenzi wa barabara hiyo ya Oljoro imeshafanyika kwasababu mradi huo ulipaswa kukamilika mwishoni mwa mwezi huu.

"Tulipaswa kuwa asilimia 99  katika mradi huu na sasa wakandarasi wanatakiwa kukamilisha mradi huo Juni mwaka huu huku mvua zikitegemea kunyesha muda wowote hivyo lazima wakamilishe barabara hizi"

Pia alisisitiza mradi huo wa barabara hizo tatu kukamilika kwa haraka ili  Juni mwaka huu, zikabidhiwe na kusisitiza ubora ni jambo la msingi sana.

"Sijaridhika na hatua hii lakini kuna changamoto zilijitokeza hivyo wazirekebishe kwani serikali inatumia fedha nyingi katika shughuli za maendeleo hivyo lazima wasimamizi na wajenzi wa barabara hizi wakamilishe kwa wakati.

Naye, Msimamizi wa mradi huo kutoka kampuni ya ujenzi ya Mhandisi Consultant Ltd ,Mhandisi John Benedict alisema kama wahandisi wnashukuru kwa serikali kukubali changamoto hizo huku akiahidi  kwamba  mradi huo utakamilika Juni mwaka huu.

Aidha, alisema wataongeza timu ya kazi ili kupima maendeleo ya mradi anaojenga mkandarasi huyo ili kufikia malengo kwani mradi huo unatembelewa mara kwa mara huku mkandarasi analipwa kwa wakati. 

Awali Mhandisi Sofa Edward kutoka Jiji la Arusha ambao wao ndio wasimamizi wakuu aliahidi kusimamia wakandarasi hao ili wamalize kwa wakati kazi hiyo kwani wananchi wa kata hizo wanazihitaji kwaajili ya kurahisisha usafiri ikiwemo wananchi kupata maendeleo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.