Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

VITUO VYA AFYA SITA VYAJENGWA WANGING’OMBE NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS DKT.SAMIA

Imewekwa tar.: February 4th, 2023

Wanging'ombe - Njombe

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Wanging'ombe, Dkt. Festo J. Dugange  amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameimarisha utaoaji wa huduma za afya katika Halmashauri ya Wanging’ombe ambapo amewezesha Ujenzi wa vituo vya afya sita katika kipindi cha miaka miwili ya utawala wake.

Amasema hayo leo tarehe 04 Februrari 2022 wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe wakati akieleza utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Mkutano Mkuu wa Halmashauri kuu ya CCM na maadhimisho ya  miaka 46 kuzaliwa kwa CCM.

Dkt. Dugange amesema Vituo vya Afya vya Saja, Usuka, Ilembula na Imalinyi vimeshakamilika na ujenzi wa vituo Vya afya Vya Wangama na Igima vinaendelea na Ujenzi ambapo vimesaidia kusogeza huduma za afya kwa Wananchi na kupunguza gharama za kufuata huduma za afya mbali.

Amesema Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya Wanging’ombe imepelekewa shilingi milioni 500 kujenga wodi ya Wanaume, Wanawake na Watoto, shilingi milioni 300 zimejenga Jengo la Wagonjwa wa dharura na milioni 200 zimenunua Vifaa tiba ikiwa ni pamoja na kupelekwa kwa Mashine ya kidigitali ya X-Ray.

Aidha, katika Sekta ya elimu Dkt. Dugange amesema utoaji wa elimu umeimalishwa ambapo zimejengwa shule  tatu mpya za sekondari na kupelekea kata zote 21 katika wilaya ya Wanging’ombe Kuwa na Shule za Sekondari.

Dkt. Dugange amesema Shule maalum ya Sayansi ya Wasichana ya kidato cha kwanza hadi cha sita ya Mkoa inaendelea kujengwa katika Halmashauri ya Wanging’ombe kwa gharama ya shilingi bilioni 4, zinazoenda sambamba na ujenzi wa nyumba vya madarasa katika shule za msingi na sekondari.

Kadhalika, Dkt. Dugange amesema miundombinu ya barabara inaendela kuimarishwa ambapo bajeti ya TARURA imeongezeka hadi kufikia shilingi bilioni 4.9 kwa mwaka wa fedha 2022/23 ambayo itawezesha Wananchi kuendelea na uzalishaji kwa kuwa watakuwa na uhakika na barabara za kusafirisha mazao.

Pia, Dkt. Dugange amesema miradi ya maji inaendelea kutekelezwa katika Halmashauri ya Wanging’ombe ambapo ikikamilika itaweza kusambaza maji safi na salama katika wilaya nzima.

Nae, Mkuu wa Wilaya Wanging'ombe, Mhe. Claudia U. Kitta amesema Halmashauri ya Wilaya Wanging’ombe imeongeza ukusanyaji wa Mapato ya ndani ambapo katika mwaka wa fedha 2021/22 zilikusanywa bilioni 3.4 sawa na 110% na katika mwaka wa fedha 2022/23 kufikia mwezi Disemba 30, 2022 zimekusanywa bilioni 1.6


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.