Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

TRILIONI 6.5 ZATEKELEZA MIRADI YA ELIMU, AFYA NA MIUNDOMBINU

Imewekwa tar.: September 15th, 2023


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengewa amesema Ofisi yake imepokea zaidi ya shilingi Trilion 6.5 ambazo zimepelekwa moja kwa moja kwa watanzania kutekeleza miradi mbalimbali ya kipaumbele katika sekta ya Elimu, Afya na maendeleo ya Miundombinu.

 Waziri Mchengerwa amesema hayo leo tarehe 15.09.2023 wakati akitoa salaam za Wizara yake mbele ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa hadhara na wananchi uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Manispaa ya Mtwara – Mikindani.

“Katika eneo la Elimu tumepokea zaidi ya shilingi Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu nchi nzima na kugharamia elimu msingi bila malipo.

 “Kwenye Afyamsingi tumepokea zaidi ya Trilioni 1.5 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Hospitali za Halmashauri, ukarabati wa Hospitali kongwe , ujenzi wa vituo vya afya, ununuzi wa vifaa tiba, ujenzi wa Zahanati pamoja na nyumba za watumishi. alifafanua Mchengewa

Aidha kwenye Eneo la Miundombinu Mhe. Mchengerwa ameeleza kuwa zaidi ya Trilioni 3 zimetumika kujenga, kuendeleza miundombinu ya barabara za vijijini na mijini ambapo katika kipindi cha mwaka huu wa Fedha Ujenzi wa Daraja la Jangwani na Uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi utatekelezwa.

 ‘Kwa fedha hizo ulizotoa sisi wasaidizi wako hatuna sababu ya kutokufanya kazi, kujituma kwa bidii na weledi wa hali ya juu sisi Kazi yetu kubwa ni kupanga namna bora ya kusimamia na kutekeleza ufanisi wa kazi zilizokusudiwa kukamilishwa kupitia fedha hizo’ alisema Mchengewa

‘Ninakumbuka siku chache zilizopita wakati unatuapisha ulitusisitiza kufanya kazi kwa bidii, weledi na ubunifu kama ilivyo dira yako nami nilipoanza kazi nilishusha Wizara yako kwa wananchi na kuwataka watendaji wote walio chini yangu kujishusha kwa wananchi na kutoka maofisini kwenda kuwahudumia wananchi na kutatua kero zao.

“Yeyote miongoni mwetu atakayewachezea wananchi wako kwa uvivu, uzembe au ubadhirifu wa fedha unazozitoa [Rais Samia Suluhu] kwa ajili ya huduma za wananchi, yule ambaye ni saizi yangu, nitashughlika naye kweli kweli.” 

“Kwa kuwa umeniamini kuongoza Wizara hii ninakuahidi kuisimamia kwa uadilifu mkubwa, kuendelea kuchapa kazi kwa bidii, kuongeza usimamizi kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kuhakikisha miradi yote iliyopata fedha inakamilika kwa wakati na wananchi wanapata huduma bora na atakayefamya vinginevyo ntalala naye mbele’ alimalizia Mchengewa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.