Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Tekelezeni miradi kwa thamani na kuwajali wananchi – Dkt. Mpango

Imewekwa tar.: July 21st, 2022

Na Fred Kibano, Mpanda na Mlele, Katavi

Serikali imewataka Viongozi nchini kutekeleza miradi ya maendeleo kwa thamani ya fedha, kuwajali wananchi na kuacha ubadhilifu katika miradi wanayoisimamia.

Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango baada ya kupokea taarifa ya mkoa wa Katavi katika Manispaa ya Mpanda na kufanya ziara yake Mpanda Manispaa na Halmashauri ya Mlele mapema leo.

“Ni wajibu wetu kama Viongozi kuhakikisha katika ngazi zote fedha za miradi zinaenda kunufaisha wananchi, huo ni wajibu wa msingi ni lazima kama Viongozi kuwiwa na umasikini wa wananchi wetu kwa kufanya jitihada kwelikweli”

Dkt. Mpango amefurahishwa na taarifa kubwa ya maendeleo ambayo yamefikiwa na mkoa wa Katavi lakini amewataka watendaji hao kuweka viwango sahihi vya makadirio ya mapato, kutekeleza miradi katika ubora na kiwango kinachostahili pamoja na kuacha matumizi yasiyosahihi kwa fedha zilizokusanywa na Mamlaka husika.

“nimefurahishwa na makusanyo ya mapato lakini mwangalie malengo yenu mnayoyakadiria  kwani lengo la madirio linaweza kuwa dogo, kwenye mapato hapa ni muhimu kusimamia matumizi, sijui natumaini hakuna mchwa hapa kwenye Halmashauri zetu , tutakuwa tunakusanya huko kwa wananchi lakini huku kwingine zinavuja “ alisema Mhe. Mpango.

Awali akisoma taarifa ya mkoa, Mkuu wa Mkoa Katavi Mwanamvua Mlindoko amesema pamoja na kuvuka lengo la makusanyo katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa kukusanya shilingi Bilioni 13.54 sawa na asilimia 115 lakini Ofisi yake inaendelea kusimamia ukusanyaji wa mapato hayo ya Serikali kwenye Halmashauri zote za mkoa huo pamoja na kuhakikisha fedha zilizokusanywa kwa ajili ya kutekeleza miradi zinapelekwa kwenye miradi inayowanufaisha wananchi.

Akitoa neno la awali katika ziara ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Inyonga - Wilayani Mlele, Mbunge wa Mlele Mhandisi Isack Kamwelwe ameishukuru Serikali kwa kuwapatia jumla ya watumishi 92 ambapo walimu 46 na wauguzi 46 lakini pia ameiomba Serikali kuendeleza ujenzi wa madarasa 8 katika shule ya msingi iliyopo Kata ya Nsengwa kwani mwaka huu ilipata changamoto ya kuandikisha wanafunzi 700 lakini ni 250 tu ndiyo walipata nafasi ya madarasa ya kusomea.

Naye mwananchi Sailoni Mhagama amesema ziara ya Makamu wa Rais Mkoani Katavi itatatua changamoto ambazo wanakabiliwa nazo wao wananchi kama vile afya na elimu.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI.

    May 24, 2025
  • SOKO LA KISASA LA NYAMA CHOMA LAZINDULIWA VINGUNGUTI

    May 24, 2025
  • DKT. Biteko asisitiza wazazi kuthamini nafasi ya familia katika malezi na makuzi ya mtoto.

    May 24, 2025
  • Mhe. Rais Samia amtaka Prof. Nagu kuboresha  huduma ya afya ya msingi.

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.