Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Serikali yaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI

Imewekwa tar.: September 5th, 2022

Asila Twaha, TAMISEMI

Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa  ameridhishwa na ujenzi wa jengo la Ofisi ya Rais - TAMISEMI na kuwaasa watendaji wa wizara hiyo kuendelea kusimamia kasi ya ujenzi  wake ambalo tayari limefikia asilimia 54.

Mhe. Majaliwa ametoa wito huo mapema leo Jijini Dodoma baada ya kupokea taarifa ya ujenzi na kukagua jengo hilo ambalo Serikali imetoa fedha kwa ajili ya muendelezo wa ujenzi wa Ofisi za Wizara zote za Serikali.

Amewapongeza mafundi na mkandarasi na kuwataka viongozi na watendaji wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI kuendelea kushirikiana na mkandarasi na mafundi ili kufikia lengo la Serikali la kujenga Ofisi zote za wizara hiyo katika Mji wa Serikali Mtumba.

“ Niwapongeze mafundi, taarifa inaonesha asilimia ya ukamilishaji ipo juu kuliko ilivyo kadiriwa”

Mhe. Majaliwa amesema, azma ya Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ni kuendelea na kuuendeleza Mji wa Serikali pamoja na Makao Makuu ya Nchi, Jijini  Dodoma kwa  kujenga miundombinu ya barabara, miundombinu ya mifumo ya maji na kuendelea na  ujenzi wa Wizara za Serikali ambapo zaidi ya bilioni 500  zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa Wizara za Serikali lakini pia  uwekezaji uliowekwa kwa kuendelezwa Dodoma.

Awali akisoma taarifa ya maendeleo ya ujenzi Mkurugenzi wa Maendeleo ya Miundombinu Ofisi ya Rais, TAMISEMI Mhandisi Gilbert Moga amesema, kwa mujibu wa kazi zilizotakiwa kukamilika hadi kufikia Agosti 30, 2022 ni umwagaji wa zege kwenye nguzo, ngazi na kuta kutoka kitako cha chini  hadi sakafu ya pili ambayo ni asilimia 19.

Mhandisi Moga amesema hadi Septemba 5, 2022 hatua iliyofikiwa ni asilimia 54 ya mpango kazi ambapo Mkandarasi yupo mbele kwa asilimia 35.

Mhe.  Majaliwa amesema, ziara hiyo ni muendelezo  wa kukagua   ujenzi wa Makao Makuu ya Nchi ambapo alianza kwa kukagua ujenzi wa barabara ya mzunguko na kwamba ataendelea  kukagua na  kuona ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali yanayoendelea kujengwa ili kujiridhisha na maendeleo yake.

Ujenzi wa jengo la Ofisi ya Rais, TAMISEMI unaoendelea kujengwa Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma unasimamiwa na Mtaalam Mshauri kutoka kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.