• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Serikali yaagiza uchunguzi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Bariadi

Imewekwa tar.: December 22nd, 2021

Na Fred Kibano, Bariadi               

Serikali imemwagiza Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi kufanya uchunguzi wa ujenzi wa majengo matatu ambayo hayajakamilika bila sababu maalum kwa miezi tisa bila sababu ya msingi.

Dkt. Dugange ametoa agizo hilo alipofanya ziara yake ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi hivi leo baada ya kukagua ujenzi wa miundombinu hiyo na kunusa harufu ya ubadhirifu wa fedha.

Majengo hayo ni wodi ya wanaume, wodi ya watoto na wodi ya wanawake ambayo yalipaswa kuwa katika hatua ya kutumika lakini mpaka sasa bado hayafikia hatua ya kupiga lipu.

“sasa natoa maelekezo kwanza Mkurugezi, Katibu Tawala Mkoa fanyeni ukaguzi maalum wa ujenzi wa wodi hizi tatu tuone fedha nyingine ambazo zilitakiwa kufanya kazi hapa zimekwenda wapi, na ndani ya siku 30 ifikapo 30 Januari, 2022 Ofisi ya Rais TAMISEMI tupata riPoti maalum ya hali ya fedha ikoje, matokeo yake yakoje na hatua gani zimechukuliwa kwa wale wote ambao watahusika kuhusika kwenye usimamizi mbaya wa fedha za Serikali kwa majengo ya wodi hizi” alisema Dkt. Dugange

Alisema haiwezekani Serikali itoe fedha nyingi na wananchi wa Bariadi walitarajia kupata huduma bora kwenye hospitali hiyo kama ingekamilika kwa wakati.

Dkt. Dugange amesema zaidi ya asilimia 99 ya Halmashauri zote 67 zilizopatiwa fedha zilikwishakamilisha ujenzi wa majengo hayo matatu na yameanza kutoa huduma lakini wilaya ya Wilaya ya Bariadi majengo hayo hayajakamilika takribani miezi tisa tangu tarehe ya kukabidhi mradi.

“hatuoni thamani ya fedha iliyotumika kwenye majengo haya kwa hiyo hapa kuna kila dalili fedha hizi zimetumika vibaya, hazijatumika kadri zilivyotarajiwa kutumika kujenga wodi hizi tatu kwa lugha nyingine hapa kuna upotevu wa fedha za Serikali” alisema Dkt. Dugange.

Awali akitoa taarifa hiyo ya ujenzi wa majengo hayo, Dkt. Joseph Mziba amesema hospitali hiyo ilipokea fedha kiasi cha shilingi 482,770,573.00 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya wodi hizo tatu na mpaka sasa wanatarajia kuanza kupiga lipu. Aidha, hospitali hiyo ina jumla ya watumisha 49 na makusanyo ya mapato ni shilingi milioni tatu kwa mwezi.

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mheshimiwa Lupakisyo Kapage, amesema kuwa maagizo yote wameyapokea na watayafanyia kazi kama ilivyoagizwa.

Hospitali ya Wilaya ya Bariadi ilipatiwa fedha kutoka Serikali Kuu kiasi cha shilingi Bilioni mbili na milioni 282 ambapo hatua iliyofuata ililetewa shilingi milioni 482 kwa ajili ya ujenzi wa wodi tatu za wanaume, watoto na wanawake ambazo ujenzi wake unasuasua.

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.