• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Serikali Kuwachukulia Hatua Waliozisababishia Halmashauri Hati Chafu

Imewekwa tar.: August 20th, 2018

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI), Joseph Kakunda amesema serikali imeanza kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi wote wa halmashauri nchini waliosababishia halmashauri zao kupata hati chafu na zenye mashaka katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa ya mwaka 2016/2017.

Akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mamlaka za Serikali za Mitaa (LAAC) katika ukumbi wa Msekwa bungeni Jijini Dodoma leo, Mhe Kakunda amesema Serikali inaendelea kuongeza kasi katika usimamizi na uboreshaji wa utendaji kazi ili kuhakikisha hakuna halmashauri inayopata hati chafu pamoja na hati zenye mashaka.

“Hatua zinaendelea kuchukuliwa ili kuboresha utendaji kwenye sekta mbalimbali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa ikiwemo kuwachukulia hatua watumishi waliosababishia halmashauri kupata hati chafu kama vile kuwapa onyo kali na kuwafukuza kazi” Alisema Naibu Waziri Kakunda.

Aidha Waziri Kakunda amesema uchambuzi unaendelea nchi nzima ili kujua ni watumishi wangapi wamechukuliwa hatua za kinidhamu zikiwemo kuwashusha vyeo, kuwafukuza kazi, kuwapa onyo pamoja na kuwapeleka mahakamani.

Kuhusu kufanyika kwa ukaguzi maalumu katika halmashauri za Igunga, Tabora Manispaa pamoja na Kigoma Ujiji ambayo imepata hati isiyoridhisha kwa miaka mitatu mfululizo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Abdallah Chikota ameitaka Ofisi ya Rais TAMISEMI kugharamia ukaguzi huo baada ya Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG ) kudai kuwa wanakabiliwa na changamoto ya bajeti.

Awali akiwasilisha muhtasari wa taarifa ya jumla ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa, katika mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2017, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Jasper Mero amesema idadi ya Hati za Ukaguzi zinazoridhisha imeongezeka.

“Idadi imeongezeka kutoka 138 sawa na asilimia 81 za mwaka 2015/2016 hadi kufikia 166 sawa na asilimia 99 kwa mwaka 2016/2017, na idadi ya Hati zenye mashaka imepungua kutoka 32 sawa na aslimia 19 kwa mwaka 2015/2016 mpaka 16 sawa na asilimia nane kwa mwaka 2016/2017” Amesema Mero.

      Anaandika Zulfa Mfinanga - OR TAMISEMI


Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.