• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Sekta binafsi zatakiwa kuwekeza katika viwanda vya kutengeneza bidhaa za afya

Imewekwa tar.: November 15th, 2018

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Josephat Sinkamba Kandege ametoa wito kwa sekta binafsi kuwekeza katika sekta ya afya  hasa kwenye viwanda vya kutengeneza  bidhaa za afya nchini.

Ameyasema hayo wakati akifunga mkutano wa Tano wa wadau wa Sekta ya afya nchini uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere leo jijini Dar-es-salaam.

Mhe. Kandege amesema kuwa Tanzania  kwa sasa kuna makampuni 14  yanayojishughulisha na bidhaa za afya (Dawa, Vifaa, vifaa tiba na  vitenda) yenye mtaji mdogo ukilinganisha na mahitaji ya huduma hiyo nchini hivyo ni vyema makampuni binafsi yakawekeza ili kukidhi mahitaji ya nchi.

Mhe. Kandege amewataka wawekezaji wenye nia ya dhati  kuja kuwekeza kwenye makampuni  ya kutengeneza  bidhaa za afya hasa watanzani  wenye uwezo wa kifedha  kutumia nafasi hii adimu kuwekeza nchini.

Amesema kuwa kasi ya makampuni ya wazawa kuwekeza katika viwanda vya bidhaa za afya  nchini hayaendani na uhitaji  halisi kwa sasa kwa kuwa nchi huagiza  asilimi 94 kutoka nje.

Amesema kuwa sekta ya afya ni muhimu katika jamii hivyo ni vyema  makampuni binafsi kuhakikisha wanawekeza katika katika viwanda vya madawa kwa kuwa uhitaji wa dawa nchini ni mkubwa  ukilinganisha na uzalishaji wa bidhaa hizo nchini.

Mhe. Kandege amesema kuwa Tanzania  inatumia  zaidi ya shilingi trilioni  moja ( trilioni 1 )  kila mwaka  katika masuala ya afya lakini  ni asilimia kumi ndio hutumika katika viwanda vya ndani.

Wakati huohuo Rais wa chama cha wadau wa Afya nchini  Dkt. Omary Chilo amesema kuwa lengo la mkutano huo ni kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya afya nchini hasa katika uwekezaji wa makampuni ya afya nchi jambo ambalo bado ni changamoto nchini Tanzania.

Amesema maendeleo ya viwanda katika sekta ya afya ni jambo la muhimu kwa kuwa teknolojia imebadilika  na magonjwa yanayobadilika  hivyo uwekezaji katika sekta afya  kutaleta mabadiliko katika utengenezaji wa  madawa jambo ambalo litahusisha utengenezaji wa vifaa tiba na kuwekeza katika rasilimali watu.

Amesema kuwepo na viwanda vya kutengeneza bidhaa za afya (Dawa,vifaa, vifaa tiba na vitenda) nchini  kutasaidia  kupunuza bei ya madawa  ambazo zitamsaidia mwananchi maskini , kuongeza ajira kwa i na kuongeza ushindani  ili kuleta tija katika kukuza uchumi wa nchi katika sekta ya afya.

Aidha  amesema kuwa dunia imekuwa kama kijiji kwa kuwa hakunakitu kinachoweza kufanyika bila kuwa na takwimu sahihi, hivyo ni vyema kukawa na mkakati wa kukusanya , kuingiza  na kuifadhi na jinsi ya kutumia takwimu mbalimbali ili kuboresha afya nchini.

Na. Angela Msimbira



Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.