Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

RHMT KILIMANJARO YATAKIWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA

Imewekwa tar.: November 21st, 2022

OR -TAMISEMI

Timu ya uendeshaji wa huduma  za afya (RHMT)  Mkoa wa Kilimanjaro  imeshauriwa kuimarisha  upatikanaji wa huduma  bora za afya  katika vituo vya  kutolea huduma  za afya  ili kupunguza idadi kubwa ya  wagonjwa wanaofuata  huduma katika  hospitali za Halmashauri na Mkoa,huduma ambazo zinapatikana katika zahanati  na vituo vya afya.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( OR-TAMISEMI) Dkt. Ntuli Kapologwe alipozungumza  katika kikao kazi kati ya timu ya usimamizi shirikishi kutoka Idara ya huduma za Afya  OR-TAMISEMI pamoja na RHMT Mkoa wa  Kilimanjaro Novemba 21, 2022.

" 85%  ya wananchi wanatibiwa  katika vituo vya afya, kwahiyo tunatakiwa kutoa huduma nzuri katika vituo hivi ili kupunguza  idadi kubwa ya wagonjwa katika Hospitali za Halmashauri na Mikoa ambao wengi wao  wanapelekwa wakiwa katika hali mbaya" Ameeleza Dkt. Kapologwe

Sambamba  na hilo  Dkt. Kapologwe ameishauri   RHMT Kilimanjaro kuendelea kutoa elimu ya afya kwa jamii  hususan elimu juu ya magonjwa ya mlipuko ili kuwawezesha wananchi kujikinga na magonjwa ya mlipuko  na  hatua  za  kuchukua endapo mwananchi  akigundulika kuwa na dalili za ugonjwa.

Kwa upande wake  Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt.Jairy Khanga  ameishukuru timu ya usimamizi shirikishi kutoka OR-TAMISEMI  kwa kufanya ziara katika Mkoa wa Kilimanjaro  akisisitiza kuwa ziara hiyo italeta matokeo chanya katika utekelezaji wa shughuli za afya katika Mkoa wa Kilimanjaro.

Naye Meneja wa Mradi wa  USAID Afya Yangu-Northern  Bw. Jonathan Yona ametoa wito kwa Serikali kuendelea kuwajengea uwezo RHMT  zote nchini jinsi ya  kutumia takwimu  katika  kufanya maamuzi sahihi  yatayoleta maboresho ya  utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.

Timu ya  Wataalam kutoka Idara ya huduma za  Afya OR-TAMISEMI  ipo Mkoani Kilimanajaro kwaajili ya kufanya ziara ya   usimamizi shirikishi katika utekelezaji wa shughuli za afya  yenye lengo la kukagua na kushauri  namna bora ya kuboresha utoaji wa huduma za afya katika Mkoa huo.


Matangazo

  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • MAPEPELE AWANOA MAAFISA HABARI WA TAMISEMI, AWATAKA WAWE WAZALENDO 

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.