• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

RAIS SAMIA AWEKEZA EMD 80 NA ICU 28 KATIKA AFYA YA MSINGI

Imewekwa tar.: July 17th, 2023

OR- TAMISEMI, Njombe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewekeza katika  Huduma za dharura(EMD) 80 na Huduma za wagonjwa maututi (ICU) 28 katika afya ya msingi na zimekamilika zinatoa Huduma kwa wananchi.

Kauli hiyo imebainishwa na Naibu Katibu Mkuu, OfisI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Charles Mahera wakati akizungumza na watumishi wa sekta ya afya katika mkoa wa Njombe.

Dkt. Mahera Amesema kuwa Jengo la wagonjwa wa dharura katika Hospitali ya Wilaya Makete ni miongoni mwa majengo 80 yaliyojengwa chini ya uwekezaji wa Dkt. Samia 

 Dkt. Mahera Amesema kuwa Dkt. Samia anaendelea kuboresha sekta ya afya ambapo hivi karibuni magari 316 ya kubeba wagonjwa yatasambazwa katika afya ya msingi ili kutoa Huduma bora kwa wananchi pale kunapotokea rufaa ya haraka.

Aidha, amewataka maafisa ustawi wa jamii na lishe kutoa elimu juu ya makuzi ya watoto kwa kuzingatia utamaduni,miongozo pamoja na elimu ya lishe ili kuondoa udumavu katika maeneo yao ya kazi.

Lakini pia, Dkt. Mahera amewataka maafisa afya nchini kuota elimu na kufanya kazi kwa weledi ili kuzuia magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu.

"Maafisa wa afya fanyeni kazi yenu vizuri kwa kutoa elimu kwa ajili ya kuzuia magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu na kadhalika, tutoe elimu kwa wananchi tusiwaache wenyewe’, ameeleza Dkt. Mahera.

Dkt. Mahera amesisitiza ushirikiano kati ya hospital za rufaa, zahanati na vituo vya afya katika kutoa huduma bora kwa wananchi kwani zote ziko katika sekta moja na zinafanya kazi kwa pamoja.

"Hivi sasa vifaa vingi serikali imewekeza katika ngazi ya msingi hivyo ni wakati wa kushirikiana Hospitali za mikoa kuwajengea uwezo watumishi wa ngazi ya msingi ili vifaa vilivyowekezwa kuleta tija kwa kutoa Huduma kwa wananchi”, Amesema Dkt. Mahera

Hata hivyo Dkt. Mahera amesisitiza Hospitali za Wilaya,vituo vya afya na zahanati kuwa na utamaduni wa kufanya  ukaguzi wa dawa, vifaa tiba na ubora wa Huduma ili kubaini  matumizi sahihi ya uwekezaji uliofanyika katika maeneo hayo.

Dkt. Mahera ameelekeza Waganga Wakuu wa Wilaya nchini kusimamia kwa karibu waratibu Programu kama Mfuko wa kimataifa (Global Fund) na kuhakikisha fedha za program hizo zinatumika kama zilivyopangwa na kwa wakati ili kuleta tija kwa wananchi.


Matangazo

  • Majina ya waliopata vibali vya Uhamisho wa Kawaida na Kubadilishana (Januari - Julai 2023) October 14, 2023
  • DMDP Documents October 12, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGIWA SHULE CHAGUO PILI MWAKA, 2023 October 04, 2023
  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TUZO ZA UBORA WA ELIMU MWAKA 2023

    December 04, 2023
  • OR - TAMISEMI

    December 04, 2023
  • MCHENGERWA: BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI ZIPITIKE KWA 85% IFIKAPO 2025

    December 04, 2023
  • MCHENGERWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA LA BIBITITI MOHAMED – MOHORO

    December 03, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.