• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

MRADI WA SHULE BORA KUNUFAISHA WANAFUNZI MIL. 4 NCHINI

Imewekwa tar.: April 5th, 2022

Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Uingereza wamezindua mpango wa elimu bunifu wa shule bora wenye thamani ya Shilingi bilioni 271 utakaosaidia kuboresha mazingira ya kujifunzia, ujumuishi na usalama kwa wasichana na wavulana katika shule za msingi nchini.

Akizungumza baada ya kuzindua mpango huo, Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika,Latini Amerika na Caribean, Mhe. Vicky Ford amefurahia kwa kufanikishwa kwa mchakato huo akasema ni mwanzo mzuri mpya wa muendelezo wa ushirikiano katika sekta ya elimu kati ya Serikali ya Uingereza na Tanzania.

Amesema mradi huo utawanufaisha wanafunzi milioni 4 katika mikoa hususani ni watoto wa Kike, wenye mahitaji maalum na wale wanaotoka kwenye mazingira magumu na hatarishi.

"Mradi wa shule bora unakwenda pamoja na mfumo wa elimu wa Tanzania ili kuwasaidia wanafunzi na walimu katika kuwajengea uwezo.Mpango wa shule bora utatoa fursa hata kwa wale wanafunzi wenye mahitaji maalumu," amesema Vicky Ford.

Naye, Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Mkenda amesema mradi huo utatekelezwa katika mikoa tisa na utaboresha mazingira ya ufundishaji wa darasani pamoja kuwaendeleza walimu ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.


Kwa upande wa TAMISEMI, Naibu Waziri anayesghulikia Elimu Mhe. Davidi Silinde amesema," jukumu langu ni kuishukuru Serikali ya Uingereza na tunakushuru waziri ( Vicky) kwa ujio wako Tanzania na hatua ya Serikali yako kutuwezesha kuboresha sekta ya elimu nchini.


" Ahadi yetu ni fedha zote zitakazoletwa zitatumika malengo yaliyokusudiwa," amesema Silinde.


Uzinduzi wa mradi huu umefanyika tarwhw 04.04.2022 katika shule ya msingi ya Mkoani iliyopo kwenye Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoani Pwani na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali waandamizi wa Serikali akiwemo Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda, Naibu Waziri wa Tamisemi, Mhe. David Silinde na Naibu Katibu Mkuu wa Tamisemi anayeshughulikia elimu, Gerald Mweli.


Wengine ninMkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge, makatibu wa tawala wa mikoa ya Simiyu, Katavi, Kigoma, Tanga, Mara, Rukwa, Singida na Dodoma ambako mradi huo utatekelezwa, maafisa Elimu wa Halmashauri za Mkoa wa Pwani pamoja walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Mkoani.

Matangazo

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • LAAC YAPOKEA TAARIFA KUHUSU UTAWALA NA UENDESHAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 14, 2023
  • SERIKALI YAWEKA MIKAKATI KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI YA MENDELEO, UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO KATIKA HALMASHAURI

    March 13, 2023
  • WAUGUZI NA WAKUNGA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA KAZI

    March 13, 2023
  • ACHENI KUTUMIANA NYARAKA ZA SERIKALI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA BARUA PEPE BINAFSI - DKT. MPANGO

    March 13, 2023
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.