Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Mfumo wa Ukusanyaji wa Mapato Kimtandao Nchini wawashangaza Uganda

Imewekwa tar.: May 18th, 2018

 

Mfumo wa ukusanyaji wa mapato kimtandao ya Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini umewavutia Wabunge wa Kamati za Hesabu za Jamii (Serikali za Mitaa) kutoka nchini Uganda baada ya kuona nchi ya Tanzania imefanikiwa kukusanya mapato kwa njia hiyo kwa kiwango kikubwa.

  

Mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (PAC-LG) ambaye pia ni mbunge wa kaunti ya Aswa, Wilaya ya Gulu nchini Uganda Mhe. Okumu Ronald Reagan amesema hatua hii inapaswa kuigwa kwa nchi nyingine ambazo bado hawajafanikiwa kwa kiwango cha kuridhisha.

  

“Hatua hii inapaswa iigwe na nchi nyingine ikiwemo hata Uganda, tumeona mmefanikiwa kukusanya mapato yote, hakuna upotevu, na imewarahisishia wananchi na hata watumishi waserikali katika kufuatilia” Alisema Okumu

  

Akielezea jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mapato kimtandaounavyofanyakazi mbele ya ujumbe huo katika ukumbi waTamisemi, Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Teknolojia ya Habari naMawasiliano (TEHAMA) kitengo cha Miundombinu Baltazar Kibola amesema kuwa ukusanyaji wa mapato kwa njia ya mtandano umesaidia kuzuia upotevu wa mapato ya Serikali.

  

Amesema kwa sasa wananchi wamerahisishiwa kulipa malipoyote ya serikali za mitaa haraka na rahisi zaidi kupitia benkiwalizojiunga nao za NMB pamoja na CRBD na mlipaji haitajikufika ofisi yoyote kwa ajili ya kupatiwa risiti kwani mfumohuo humuonyesha mlipaji na kiasi cha fedha muda mfupi baadaya kufanya muamala.

  

“Halmashauri 185 zote nchini zimeunganishwa kwenye mfumohuu wa malipo ya kimtandao, hivyo walipaji wetu wote nchini wanalipia kupitia mfumo wa kimtandao, hii imesaidia sana upotevu wa mapato pamoja na kuturahisishia serikali kufuatilia mapato yanayopatikana kwa urahisi zaidi” Alisema Kibola

  

Ameongeza kuwa malipo hayo ya kimtandao yanafanywa kupitiamashine maalumu ya ukusanyaji wa mapato (Point of Sale), kupitia simu za mikononi (smartphone), kupitia mfumo wa kibenki pamoja na kulipa kwa watunza fedha ( main cashiercollection).

  

Naye mjumbe wa kamati hiyo, mbunge kutoka kaunti ya Otuke (Northern) nchini Uganda Akello Silvia ameiomba Tamisemi kufungua milango kwa wananchi wa Uganda kuja nchini kupataelimu hiyo.

  

Afisa Tehama wa Tamisemi Antidius Anatory amesema mfumo huo umesaidia ukusanyaji wa mapato ya serikali za mitaa kwaasilimia 98 pamoja na vituo 80 vya makusanyo ya malipokimtandao nchi mzima.

  

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.