Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

MCHENGERWA AFIKA SHULE YA MSINGI MWAMASHIMBA, AMPA ONYO MKURUGEZI

Imewekwa tar.: December 19th, 2023

OR-TAMISEMI

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema hatamvumilia mkurugenzi yeyote wa halmashauri ambayo ataitia aibu serikali na kuifanya itukanwe kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Mchengerwa ametoa kauli hiyo baada ya kufika katika Shule ya Msingi Mwamashimba iliyopo wilayani Meatu mkoani Simiyu alioenda kukagua utekelezaji wa agizo lake tarehe 18.12.2023.

Mchengerwa alitoa wiki mbili kwa uongozi wa mkoa na wilaya kufuatia taarifa ya watoto kukaa chini  kwa kukosa madawati pamoja na Serikali kujenga shule nzuri.

“Kiongozi yeyote kwenye mamlaka za serikali za mitaa kwenye eneo lake ambaye anakwenda kuitia aibu Serikali mpaka tuandikwe na kutukanwa kwenye magazeti na kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kutotekeleza wajibu wako nitachukua hatua za kuwasimamisha kazi.”

“Nilimwambia RC (Dk. Yahaya Nawanda) kuwa leo nitaondoka na mkurugenzi (Athuman Masasi) lakini nimekuhurumiz kwa kuwa ni mgeni. Niwaambie wakurugenzi wa halmashauri kote nchini kuwa pale Serikali itatukanwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwasababu umeshindwa kutekeleza majukumu nitachukua hatua dhidi yao.”

Alisema kiongozi bora ni yule ambaye anabeba matatizo ya wananchi kwenye mionyo yao na kutatua matatizo ya wananchi.

“Nchi hii haiwezi kujengwa na Rais pekee yake bali kwa kuwashirikisha wadau wa mandeleo.

Utoafuti kati ya kiongozi na mtu wa kawaida ni matendo yako namna ambayo umeshiba kero za wananchi, namna ambavyo unakwenda kutatua kero za wananchi.”

Alisema kama watendaji wa halmashauri wakiwamo wakurugenzi watafanyakazi kwa kungalia masilahi ya wananchi, kuangalia matatizo ya wananchi katika maeneo yao na kuyapa kipaumbele namba moja katika kuyamaliza.

“Watoto wanakaa chini, chukueni hatua msisubiri Rais aone kwenye vyombo vya habari wakati mnamapato ya ndani, kweli mimi (waziri) niwe Dodoma niagize kununua madawati 70 kwenye eneo lako?”

Mchengerwa pia aliwataka wakuu wa mikoa kwenda kuzungumza na watendaji walio chini yao kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kufubiri kupelekewa bajeti na kuwataka kujiongeza na kuwa wabunifu.

Kwa upande wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, Athuman Masasi alikiri na kuomba msamaha kushindwa kupata taarifa sahihi kutoka kwa wasaidizi wake na kusisitiza kuwa halmashauri singeshindwa kutoa fedha za kununua madawati kutoka kwenye mapato ya ndani.

Awali, Mkuu wa Shule ya Msingi, Mwamashimba iliyopo wilayani Meatu, Mwita Manko alisema shule imepokea madawa 100 na kufanya sasa shule hiyo yenye wanafunzi 485 kuwa na jumla ya madawati 165 na meza sita za walimu hivyo kufanya shule kutokuwa na upungufu wa samani.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.