• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Manispaa zenye mapato zaidi ya Bilioni 20 zitenge asilimia 60 ya mapato yao – Dkt. Dugange

Imewekwa tar.: November 25th, 2021

Na Fred Kibano, Dar es Salaam

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange ameagiza Halmasjauri ya Manispaa ya Ubungo kukamilisha miundombinu iliyobakia na kuhakikisha ifikapo Desemba 30 majengo yawe yamekamilika na kuanza kutoa huduma za afya kwa wananchi.

“tumepata taarifa hapa kwamba bado hatujaanza huduma, pamoja na kwamba fedha zimekuja mwaka mmoja na nusu uliopita Bilioni moja na milioni mia tano, kwa hiyo hii sio habari njema kwa Serikali kwani lengo lilikuwa angalau baada ya kupata fedha ndani ya miezi sita ziwe zinatoa huduma”

Dkt. Dugange amesema halmashauri nyingi zilizopata fedha mwezi juni mwaka 2020 tayari zinatoa huduma karibu asilimia 99 kwa upana wake

Waziri Dugange ametoa maelekezo kwa Halmashauri zote za Manispaa kuhakikisha zinakamilisha miundombinu yote iliyobakia na kuanza kutoa huduma mapema iwezekanavyo.

“hospitali hizi za Manispaa kama Ubungo, Kinondoni, Temeke na manispaa zote zenye mapato makubwa zaidi ya Bilioni tano kwa mwaka Serikali ilikwishaelekeza Halmashauri za Manispaa zote ambazo mapato yake yanazidi Bilioni 20 kwa mwaka lazima zitenge asilimia 60 ya fedha za mapato ya ndani kwa ajili ya kwenda kuendesha na kujenga miradi ya maendeleo ambayo inawagusa moja kwa moja wananchi moja ikiwa ni huduma za afya, zahanati, vituo vya afya lakini pia hospitali za halmashauri na pili miundombinu ya elimu kuanzia chekechea, msingi na sekondari” alisema Dkt. Dugange.

Dkt. Dugange amesema Manispaa ya Ubungo inafikisha makusanyo ya mapato ya ndani kwa Bilioni 20 kwa mwaka na hivyo kwa na wajibu wa moja kwa moja kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya na miradi mingine ya maendeleo bila kutegemea ruzuku kutoa Serikali Kuu.

Aidha, amewapongeza Manispaa ya Ubungo kwa kuwa na miradi ambayo thamani ya fedha inaonekana na ubora wa majengo unaonekana pia


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Bi. Beatrice Donic amesema kuchelewa kwa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Manispaa ya Ubungo (Kimara) kulisababishwa na baadhi ya vifaa kutokuwepo kwenye orodha ya vifaa vya awali (BOQ) ambavyo havikuwekwa ijapokkuwa ujenzi umefikia aslimia 94.

Bi. Beatrice Dominic amesema jingo la wagonjwa wa nje (OPD) limefikia asilimia 98 na kwamba ndani ya wiki mbili hospitali hiyo itaanza kutoa huduma, lakini pia wamefanya manunuzi ya dawa za kuanzia kutoa huduma shilingi milioni 150, ununuzi wa kompyuta na vifaa tiba.

Kwa upande wa majengo ambayo bado ni jengo wazazi (maternity ward) ambalo litakamilishwa na mkandarasi Suma JKT ili wananchi waweze kupata huduma za afya kwa wakati.

Ujenzi wa hospitali hiyo ulitengewa shilingi Bilioni moja na milioni mia tano mapema juni 2020 na ujenzi wake upo katika hatua za mwishoni pamoja na kuwa na changamoto ya umiliki wa eneo ambayo inatafutiwa hati miliki kwa Msajili wa Hazina.




Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.