• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

Imewekwa tar.: June 30th, 2022

MAMEYA na Wenyeviti wa Halmashauri zote nchini wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi kwenye Mamlaka za Serikali za mitaa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini.


Pongezi hizo zimetolewa leo tarehe 29 Juni, 2022, baada ya viongozi hao kutembelea miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali katika Jiji la Dodoma.

Miradi ambayo imetembelewa ni ule wa ujenzi wa jengo la Ikulu ya Chamwino, ujenzi wa Mji wa Serikali ' Magufuli City' na ujenzi wa jengo la Machinga.


Akizungumza kwa Niaba ya Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo, Mhe Japhari Juma Nyaigesha amesema  Rais Samia  anapaswa kupongezwa na kushukuriwa kwa kuwaletea miradi ya maendeleo kwa wananchi.


Ametumia fursa hiyo kuahidi kuhakikisha wanasimamia kwa weledi na umakini miradi inayoletwa na Serikali katika Halmashauri zao ili wananchi waweze kunufaika na miradi hiyo.


Amesema Serikali imekuwa ikipeleka fedha nyingi kwenye Halmashauri kwa lengo la kuhakikisha miradi inatekelezwa na kukamilika kwa wakati hivyo ni jukumu lao kuhakikisha fedha zinazotolewa zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa.


“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akipeleka fedha nyingi kwenye halmashauri , hivyo ni wajibu wetu wastahiki mameya na wenyeviti wa halmashauri kuhakikisha tunasimamia kwa umakini mkubwa ili kumsaidia  Rais aweze kutimiza majukumu yake ya kuwahudumia wananchi.”


Naye Mkurugenzi wa  Sera na Uratibu,  Ofisi ya Waziri Mkuu Paul Sangawe amewataka viongozi hao kuwa na maono na dira kwa kutafsiri kwa vitendo ambavyo wananchi wataweza kuona na kuhakikisha wanasimamia mipango ya maendeleo kwa kutumia mapato ya ndani ili kuleta maendeleo kwa wananchi.


Pia amewataka  kuhakikisha wanaunga mkono juhudi za viongozi wa kitaifa kwa kuhakikisha wanaeleza wananchi kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali  kwenye maeneo yao.


Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Comrade Sambala Saidi  amesema wao kama  viongozi Wana wajibu wa  kudumisha ushirikiano baina ya Mameya, wenyeviti wa Halmashauri na Manejimenti za Halmashauri ili kuhakikisha wanaleta maendeleo  kwa jamii na kuhakikisha miradi inakamilika kwa  wakati.


Kwa upende wa Katibu wa kikosi kazi Cha Taifa Cha kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na Ujenzi wa Maji wa Serikali, Meshack Bandawe  amesema ujenzi wa awamu ya pili wa majengo katika Mji wa Serikali unaendelea vizuri na kuwa mkakati ni kuwa ifikapo Oktoba 2023  majengo hayo yatakuwa yamekamilika.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI,2023 September 22, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KWA SHULE MPYA ZA SEKONDARI,2023 August 25, 2023
  • KUSIMAMISHWA KAZI KWA MKURUGENZI WA BUHIGWE July 12, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NDEJEMBI ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATAALAM WA ELIMU

    September 18, 2023
  • DKT. SAMIA ASHANGAZWA NA HALMASHAURI KUSHINDWA KUJENGA JENGO LA X-RAY

    September 17, 2023
  • SHULE ZA MSINGI 1,000 KUJENGWA NCHI NZIMA

    September 17, 2023
  • TRILIONI 6.5 ZATEKELEZA MIRADI YA ELIMU, AFYA NA MIUNDOMBINU

    September 15, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.