Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Ufunguzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania - ALAT Tarehe 27.09.2021.

Imewekwa tar.: October 2nd, 2021

“Maagizo yangu kwa ALAT ni kutumia mifumo katika kazi zenu, kutoa taarifa za Serikali za Mitaa, kukusanya mapato, kuweka rekodi za huduma zinazotolewa kwa wananchi."

“Kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha serikali imeridhia madiwani kulipwa posho ya kila mwezi. Hii itasaidia madiwani kuacha kuhangaika na vile vijifedha vinavyolipwa uko Halmashauri na kile ambacho mtakiacha,tunataka kikatumike kwenye miradi ya maendeleo."

“Tutaendelea kuangalia maslahi ya madiwani na watendaji wengine kwenye Halmashauri zetu, serikali imeridhia madiwani kulipwa posho kila mwezi na hii itasaidia madiwani kuacha kuhangaika na vile vijifedha vinavyokusanywa kule kujilipa posho"

"Kuna baadhi yenu hamuheshimiani, hamusikilizani nendeni mkaheshimiane,DC anasema hili DAS  anasema hili, Meya anasema hili DED anasema hili mwingine anasema hili, mnavutana kwasababu fedha zinapoingia kila Mtu anataka amege fungu atie mfukoni mmoja akikataa mivutano inaanza hili tabia ife mkafanye kazi kwa umoja.

“Niwaambie nina kifedha kingine nimekipata pahali, tunakwenda kumaliza madarasa yote yanayotakiwa, nimeambiwa kuna uhaba wa madarasa elfu 11, lakini fedha tuliyoipigia mahesabu itajenga madarasa elfu 15 ili January watoto wote waingie shule"

“Katika mkutano mmoja nilisema sitaki kuona mabango yenye masikitiko, yenye shukrani wacha wananchi waandike, mabango yenye masikitiko ni kwa sababu viongozi kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa hamfanyi kazi yenu, baadhi yenu ni sehemu ya kero, Katatueni kero za Wananchi"

“Ofisi ya Rais-TAMISEMI imekuwa ikiongoza kwa kutengewa fedha nyingi, kwa mfano katika bajeti ya mwaka huu wa fedha TAMISEMI imetengewa kiasi cha shilingi Trilioni 7.3 takribani asilimia 20 ya bajeti yote ya serikali Ili waweze kutatua changamoto za wananchi"

“Kubwa ninalogomba kwenu ni thamani ya pesa kwenye miradi, juzi Waziri Mkuu alipelekwa kwenye kibanda kilichojengwa kwa milioni kadhaa ukikitizama na fedha zilizotajwa ni tofauti, kimepakwa rangi lakini ni kibanda ambacho kingejengwa kwa Milioni 3"

“ALAT ningependa tusimamie makusanyo ndani ya Halmashauri zetu na matumizi ya fedha serikali za mitaa wamekuwa watumiaji wazuri wa fedha, lakini kinachotoka kwenu kuja serikali kuu ni kidogo aidha hakikusanywi au kikikusanywa kinaishia huko huko"


Mhe. Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

27.09.2021


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MHE MCHENGERWA AWATAKA MA RC, DC KUONGOZA JOGGING KWENYE MAENEO YAO

    June 14, 2025
  • MANYARA NA MWANZA MABINGWA RIADHA MITA 800 

    June 14, 2025
  • HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU  KATIKA KUANDAA MIRADI YA MAENDELEO- ADOLF NDUNGURU 

    June 13, 2025
  • WAVU KWAENDELEA KUNOGA UMITASHUMTA

    June 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.