Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata watakiwa kutoa huduma kwa haki na kuwa waadilifu

Imewekwa tar.: August 12th, 2024

Na OR TAMISEMI, Kilimanjaro

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mheshimiwa Nurdin Hassan Babu amefunga mafunzo kwa Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata wa mkoa wa Kilimanjaro na kuwataka kuwa waadilifu.  

Mheshimiwa Nurdin Babu ametoa agizo hilo leo tarehe 12 Agosti, 2024 Ofisini kwake wakati akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata wa Mkoa wa Kilimanjaro na kuwaagiza Viongozi na Watendaji hao kutoa huduma kwa haki na kuwa waadilifu.

“ndugu wanamafunzo, Viongozi nyie ni watumishi wa Umma, mnapaswa kutambua kwamba mnawajibu wa kutoa huduma bora kwa wananchi, kufahamu vyema na kuzingatia kanuni za kimaadili, kutumia misingi ya haki badala ya upendeleo kwa wananchi na nyie ni kioo cha jamii” alisema Mheshimiwa Nurdin Babu.

Aidha, Mheshimiwa Babu amewataka kupendana na kusaidiana katika utekelezaji wa majukumu yao lakini kuwa mfano mzuri kwa wananchi wanaowaongoza kwenye maeneo yao ya kazi.

Katika hatua nyingine, Babu amewataka kuongeza kasi ya kuzuia mianya ya upotevu wa mapato ya Halmashauri zao kwani bado wapo baadhi ya watumishi wanaotumia fedha mbichi ambazo bado hazijafika benki wakati mifumo yote ya fedha kuanzia hatua ya kukusanya wanayo, kwani bila kufanya hivyo mapato hayataongezeka pamoja na kwamba Halmashauri za mkoa huo zimekusanya mapato kwa zaidi ya asilimia mia moja.

Naye Ibrahim Minja Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema mafunzo kwa Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata ya kuwajengea uwezo katika awamu hii ya mwisho inahusisha mikoa nane ya Manyara, Arusha, Mbeya, Ruvuma, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro na Iringa na mikoa iliyobakia ni Tanga na Morogoro ambayo pia itapatiwa mafunzo kuanzia tarehe 13 hadi 14 Agosti, 2024.

Bw. Miraji Lukindo Afisa Tarafa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro amemshukuru Mheshimiwa Rais… kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kuwapelekea mafunzo hayo muhimu na kwamba yatamsaidia katika kusimamia miradi ya maendeleo kuanzia kusimamia mpango wa manunuzi, uundaji wa kamati na ujenzi wenyewe ili miradi ilete tija kwa jamii kwani Serikali inawapelekea fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Mafunzo hayo ya siku mbili yametolewa na Ofisi ya Rais TAMISEMI kupitia Programu ya Uimarishaji wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Regions and Local Government Strengthening Programme-RLGSP) kwa kushirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo pamoja na Chuo cha Utumishi wa Umma ambapo kwa mkoa wa Kilimanjaro jumla ya washiriki 199 ambao ni Watendaji wa Kata 169 na Maafisa Tarafa 30 wamepatiwa mafunzo hayo ili kwenda kuimarisha utendaji wao wa kazi katika ngazi ya msingi.

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.