• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Kiunzi Kazi Uimarishaji Ubora Huduma za Jamii Chazinduliwa

Imewekwa tar.: January 24th, 2019

Mkurugenzi  wa uhakiki wa ubora wa huduma za afya  kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Dkt. Mohamed Mohamed amezindua kiunzi kazi uimarishaji ubora huduma za jamii katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Dodoma Hotel Jijini Dodoma.

Akizindua kiunzi kazi hicho Dkt. Mohamed amesema kiunzikazi hicho itakua ni nyenzo muhimu katika kutoa huduma bora na za wakati kuanzia kwenye ngazi ya msingi.

“ kukamilika kwa Kiunzikazi  hiki kitasaidia kutoa muongozo wa huduma za afya katika ngazi ya jamii kwa kufuata miongozo na viwango vinavyotakiwa na hivyo kusaidia kuboresha Afya ya jamii yetu kwa ujumla” alisema Mohamed.

Ameongeza kuwa Kiunzi kazi hiki pia kitawasaidia watoa huduma ngazi ya jamii kutoa huduma bora ambazo  zinamlenga mwananchi moja kwa moja kabla hajafikia kwenye ngazi ya kituo cha Afya au Zahanati.

Aidha alisema “huduma hizi za afya ya msingi kwa kipindi kirefu  zimekuwa zikitolewa bila kufuata utaratibu na pia watoaji wa huduma hizo hawakuwa hawakuwa na misingi na kanuni zinazowaongoza wao katika kuihudumia jamii; Lakini kwa kuwa Serikali yetu ni makini iligundua pengo  lililokuwepo na kwa kushirikiana na wadau kwa pamoja tukaandaa Kiunzikazi cha Uimarisha Ubora huduma za Jamii katika jamii yetu.

“Wote tunafahamu kuwa magonjwa mengi yanaanzia ngazi ya jamii yaani kwenye mtaa au kwenye kijiji sasa kupitia mpango huu ambao utaongozwa na Kamati ya Afya ya Mtaa/Kijiji itasaidia kudhibiti magonjwa yanayoweza kutokea katika Jamii” alisema Mohamed.

Dkt. Mohamed ametoa wito kwa wadau, wataalamu wa huduma za afya na jamii kwa ujumla kutoa ushirikiano katika kutekeleza majukumu yao kwa kutumia kiunzi kazi hicho ili kuleta matokeo chanya katika utoaji huduma bora za afya katika ngazi ya jamii.

Kwa upande wake Afisa Muuguzi Mkuu Lucy Robby Issarow amesema kuwa kiunzi hicho kinalenga kumpa mteja uhakika wa kupata huduma bora kabla ya kufikia kwenye ngazi ya vituo vya afya na hospitali za Wilaya.

“Tumekuwa na kamati za Afya kwenye zahanati, vituo vya Afya na mpaka kwenye hospital kaini kamati hizo hazikuwahi kuwepo kwenye jamii sasa ndio tunataka ziundwe na zifanye kazi yake ipasavyo kwa kutumia kiunzi kazi kilichozinduliwa “

Katika uzinduzi huo Mratibu Uhakiki Ubora  Idara ya  Uhakiki Ubora Huduma za Afya Dkt.Talhiya Yahya  akiwasilisha mada ya namna kiunzi kazi kilivyoandaliwa alisema lengo la kuandaa mpango huo ni kuimarisha ubora wa huduma za Afya kwenye ngazi ya jamii na kuanisha mazingira wezeshi yatakayoiwezesha Kamati na kila mhusika aliyetajwa kufanya kazi kwa kuzingatia muongozo.

Kwa kuhitimisha Meneja wa Mradi wa Wauguzi kutoka Shirika la American International Health Alliance (AIHA) Eliaremisa Ayo ametaka yale yaliyoandikwa kwenye kiunzi kazi yakatekelezwe kwa ufanisi  na sio kuweka mpango huo kabatini kama nyaraka tu bila kuifanyika kazi .


Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BARABARA YA MVUMI KUWEKWA LAMI KM 3

    May 26, 2022
  • PROF. SHEMDOE AZINYOOSHEA KIDOLE HALMASHAURI 8 KWA KUTOKUTENGE FEDHA ZA LISHE

    May 25, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA ASIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA JIJI, MAAFISA WATANO ARUSHA

    May 24, 2022
  • WAKUU WA MIKOA SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWENYE HALMASHAURI

    May 24, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.