Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Jiji la Dodoma lazidi kufunguka Kimkakati

Imewekwa tar.: November 21st, 2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amesema ujenzi wa barabara ya Martin Luther – Swaswa utalifanya Jiji la Dodoma lizidi kufunguka kimkakati na kuwezesha mitaa ya Jiji hili kuzidi kuwasiliana;

Mhe. Jafo ameyasema hayo wakati alipokua akikagua barabara ya Martin Luther – Swaswa ambayo inatarajia  kuanza kujengwa  Mwezi Disemba 2018 kwa kiwango cha Lami yenye urefu wa Km 1.9.

Mhe. Jafo amesema kuwa wananchi wanaoishi pembenzoni mwa barabar hiyo wameteseka kwa muda mrefu kwa kukosa miundombinu rafiki kwa shughuli zao za kila siku na wananchi wengine wanaotumia barabara hiyo kuelekea Martin Luther kuunganika na barabara kubwa ya kuelekea Dar imekua ni atha kubwa kwa kuwa haina Lami na imeharibika sana.

“Nataka kuona Mhe. Waziri Mkuu akitoka kwenye makazi yake kuelekea Dar es salaam anapitia kwenye barabara hii na sio kuzunguka mpaka mjini wakati anapotaka kutokea ni karibu lakini hapapitiki kutokana na ubovu wa barabara hii” Alisema Mhe. Jafo.

Aliongeza kuwa barabara hii pia itazidi kufungua Jiji kwani itakua barabara kubwa ya Mzunguko na nina imani itapata watumiaji wengi kwa kuwa si kila mtu anapenda kupitia katikati ya mji kukutana na foleni.

Amemuagiza Mtendaji Mkuu wa TARURA pamoja na Uongozi wa Wilaya kukamilisha taraibu za manunuzi mapema na kumaliza changamoto ndogo ndogo zilizopo na mpaka kufikia Disemba 21 barabara hiyo iwe imeanza kujengwa.

Wakati huo huo Mhe. Jafo alitembelea barabara ya  Ilazo – Meliwa  inayojengwa kupitia mradi wa uendelezaji wa Jiji Mkakati(TSCP) unaosimamiwa na Ofisi ya Rais Tamisemi pamoja barabara ya Wajenzi ikiwakilisha barabra za katikati ya Jiji zinazowekewa tabaka jipya la lami(Asphalt Overlay) kupitia fedha za mfuko wa barabara.

Amemtaka Mkandarasi Mshauri wa barabara za Tscp kuongeza umakini katika kusimamia ubora wa barabara zinazojengwa kwa kuwa ndio sura ya Jiji la Dodoma.

Naye Mtendaji Mkuu wa TARURA Eng. Victor Seif amesema atahakikisha kuwa barabara ya Martin Luther – Swaswa mchakato wa manunuzi unakamilika haraka na ujenzi  wa barabara hiyo unaanza kwa wakati na kuwa na ubora unaostahili.

Mhe. Protas Katambi ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma amesema kuwa Ofisi ya Mkuregenzi wa Jiji itatekelzwa miradi yote iliyopo kwenye bajeti nay eye atasimamia kwa umakini ili kufanya Jiji la Dodoma kuzidi kuimarika katika kila sekta.

Mwisho

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.