Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Jafo atangaza matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, 2019

Imewekwa tar.: November 27th, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo  amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kimeshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika  Vijiji 12,260 sawa na asilimia 99.9,  Mitaa 4263 sawa na asilimi 100 huku kikijinyakulia  vitongoji  63,970 sawa na Asilimia 99.4.

Ameyasema hayo leo wakati akitoa taarifa  ya matokeo ya uchaguzi  wa Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa  ngazi ya Vijiji, Vitongoji  na Mitaa uliofanyika  tarehe 24/11/2019  kwa waandishi wa habari Ofisini kwake Mtumba Jijini Dodoma.

Mhe Jafo amesema katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 jumla ya nafasi 332,160 zilihusika katika  uchaguzi  ambapo  kulikuwa na Vijiji 12,262, Mitaa 4,263, vitongoji, 63.992,  wajumbe kundi la wanawake 106, 622, wajumbe  kundi mchanganyiko 145,021.

Amefafanua kuwa jumla ya wananchi 555,036 kutoka vyama mbalimbali  vya siasa walifanikiwa kuchukua fomu  za kugombea  ambapo  wananchi waliorejesha fomu ni  539,993 sawa na asilimia 97.3.

Mhe. Jafo amesema kuwa Chama cha Mapinduzi  kilipita bila kupingwa  kwa jumla ya nafasi za uongozi 316, 474 ambapo nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji  waliopita ni 12,028, Wenyeviti wa Vitongoji  62,927, Wenyeviti wa Mitaa 4,207, Wajume kundi la Wanawake  105,953 na Wajumbe kundi  mchanganyiko  131, 359.

Ameitaja Mikoa ambayo wagombea wa nafasi zote za uongozi walipita bila kupingwa kupitia Chama cha Mapinduzi ni Tanga, Katavi, Ruvuma na Njombe

Ameendelea kusema kuwa  Chama cha CUF  kimepata nafasi moja  katika ngazi ya wenyeviti wa vijiji,  wajumbe kundi la wanawake  wamepata nafasi tatu na wajumbe kundi mchanganyiko  wamepata nafasi  14.

Mhe. Jafo amesema kwa upande wa Chadema, wenyeviti wa vijiji imeshinda nafasi moja, haikufanikiwa kupata Wenyeviti wa Mitaa, Wenyeviti wa vitongoji imepata nafasi 19, wajumbe kundi la wananawake imepata nafasi 39 na wajumbe kundi mchanganyiko nafasi 71.

Amesema Chama  cha ACT wazalendo  kilipata  uongozi ngazi ya Wenyeviti wa Vitongoji nafasi moja, wajumbe  kundi la wanawake  nafasi moja na wajumbe mchangayiko 11 wakati chama cha UDP  kilipata nafasi moja  kwa upande wa wajumbe  kundi la wanawake  na  chama cha DP kikipata nafasi moja.

Amevishukuru vyama vya siasa   ambavyo vimeonesha ukomavu wa Kisiasa na kudumisha demokrasia nchini kwa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Aidha amewashukuru wananchi, Viongozi wa Serikali katika ngazi ya Wizara , Taasisi, Idara za Serikali Mikoa , Wilaya, Halmashauri, Tarafa, Kata, Vijiji na Mtaa kwa kushiriki kikamilifu kusimamia na kukamilisha  uchaguzi kwa amani.





Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.