• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Jafo Ataka Mikoa Tisa Kuendelezaji Miradi ya EQUIP-T

Imewekwa tar.: July 25th, 2019

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ameitaka Mikoa na Halmashauri zilizokuwa na miradi ya elimu chini ya Serikali na Mpango wa Kuinua Elimu nchini (EQUIP-T) katika shule za msingi nchini unaendelezwa. 

Waziri Jafo ametoa kauli hiyo wakati akizindua majengo ya shule shikizi cha Malole katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kilichojengwa kwa ufadhili wa shirika la maendeleo la kimataifa DFID kupitia program ya EQUIPT ambapo mbali na uzinduzi huo ametoa wito kwa Mikoa tisa na Halmashauri 63 zilizokuwa na mradi huo kuwa zinaendeleza malengo ya mradi ikiwa ni pamoja miundombinu iliyojengwa, ujuzi waliopatiwa na vifaa mbalimbali vya kusaidia taaluma.

Aidha, ameupongeza Mpango wa Kuinua Elimu nchini (MKUE) kwa kutoa ufadhili wa stadi za kujua kusoma na kuandika (KKK) ambazo zimesaidia sana kuongeza idadi ya watoto wanaojua kusoma na kuandika.

“watoto wengi walienda mbali sana kupata elimu lakini sasa shule shikizi zinasaidia watoto kupata elimu katika mazingira ya karibu”

Waziri Jafo ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya Mpango wa Kuinua Elimu mkoani Tabora na kusema kuwa miongoni mwa mikoa iliyofanya vizuri katika usimamizi wa miradi ni Tabora na ameeleza jinsi Serikali ilivyoridhishwa na matumizi ya fedha za Wadau kiasi cha Shilingi bilioni Mia sitakatika kuinua elimu.

Kabla ya uzinduzi huo waziri Jafo pia alitembelea miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ufugaji mbuzi katika shule ya Msingi Isimba na mradi wa ufugaji samaki katika shule ya Msingi Simbo ambayo imepatiwa fedha kupitia Mpango wa EQUIP-T chini ya shirika la DfID la Uingereza.

Kwa upande wake Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amesema upatikanaji wa Shule hizi utasaidia kuongeza Ufaulu kwa wanafunzi kwani zimepunguza umbali kwa wanafunzi kwenda shuleni kutafuta elimu.

Naye Mwakilishi wa shirika la maendeleo la Uingereza (DfID) Elizabeth Arthy amesema kuwa shirika hilo lilitoa Shilingi bilioni 600 katika utekelezaji wa miradi hiyo na kwamba yeye kwa niaba ya Serikali ya Uingereza anaridhishwa na ujenzi na utekelezwaji wa Programu hiyo baina yake na Serikali ya Tanzania.

                            Anaandika Fred Kibano OR - TAMISEMI

Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • BARABARA YA MVUMI KUWEKWA LAMI KM 3

    May 26, 2022
  • PROF. SHEMDOE AZINYOOSHEA KIDOLE HALMASHAURI 8 KWA KUTOKUTENGE FEDHA ZA LISHE

    May 25, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA ASIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA JIJI, MAAFISA WATANO ARUSHA

    May 24, 2022
  • WAKUU WA MIKOA SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWENYE HALMASHAURI

    May 24, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.