Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Jafo apongeza Chuo cha Serikali za Mitaa kwa kuboresha miundombinu kwa kutumia mapato ya ndani

Imewekwa tar.: August 13th, 2020

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameupongeza uongozi wa chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI) kwa kutumia mapato ya ndani kujenga kumbi za miadhara, madarasa na nyumba za waalimu.

Ametoa pongezi hizo leo wakati akizungumza  mara baada ya kuweka jiwe la msingi  katika majengo  hayo na  kuzindua  kuanza kwa program ya kutoa shahada  ya utawala na menejimenti katika Mamlaka za Serikali za Mitaa, uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano, Hombolo Jijini Dodoma.

Waziri Jafo amesema hatua hiyo ni ya kuigwa kwani ni chuo cha kwanza kilichoweza kupiga hatua ya kujenga majengo kwa kutumia mapato ya ndani.

Ujezi wa jengo la kwanza la miadhara lenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 500 limegharimu Shilingi milioni 246, ukumbi wa pili umegharimu Shilingi 226, madarasa mawili ambayo kila mmoja linauwezo wa kuchukua wanafunzi 250 linagharimu shilingi milioni 274 na nyumba yenye thamani ya milioni 99,majengo haya yote yamejengwa kwa kutumia “Force Account”

Ameviagiza vyuo vyote vya Serikali kuiga mfumo wa Chuo cha Serikali za Mitaa ambao wametumia mapato yao ya ndani kuongeza majengo kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi kuwa katika mazingira mazuri ya kujifunza na kufundishia.

Waziri Jafo amepongeza hatua ya uongozi wa chuo hicho kwa kutekeleza agizo la kuanza kutoa shahada ya kwanza na kusisitiza haja ya chuo hicho kuangalia namna ya kuanza na shahada ya ukutubi ili kuwarahisishia wananchi wanaotaka kujiendeleza au kusoma fani hiyo.

Naye, Dkt. Mpamila Madale Mkuu wa Chuo cha Serikali za Mitaa    amesema uwepo wa ongezeko la wanafunzi limechangia kuongeza mapato ya ndani ambayo yamefanya kuboresha miundombinu ili ikidhi mahitaji ya ongezeko hilo.

Ameendelea kufafanua kuwa chuo hicho  kina mkakati wa kujenga jengo la utawala,ujenzi wa jengo katika  tawi la miji ili kuondokana na adha ya kulipa pango inayowakumba kwa sasa ambapo wamekuwa wakilipa Shilingi  milioni 75 kwa mwaka

Aidha, amesema kwa msimu ujao, chuo hicho kinatarajia kudahili wanafunzi 7,000 na kuwa tayari wameashaanza kutoa kozi ya shahada ya utawala na menejimenti katika Serikali za Mitaa.

Madale amesema kwa sasa wako katika hatua za kuandaa mitaala kwa ajili ya kuanzisha kozi za shahada ya utawala na rasilimali watu, shahada ya ukutubi na Maendeleo ya jamii.

Awali, Meneja wa Milki, Mhandisi Frank Massawe amesema katika awamu ya kwanza wameweza kujenga jengo moja lenye nyumba mbili za watumishi ambapo mpango wa chuo ni kujenga majengo 10 kwa kutumia mapato ya ndani.

Na. Angela Msimbira HOMBOLO


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.