Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Imarisheni ulinzi wa vifaa vipya vya TEHAMA mashuleni – Waziri Mchengerwa

Imewekwa tar.: February 5th, 2024

Na. Fred Kibano, OR TAMISEMI Dodoma

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanaimarisha ulinzi na kufikisha kwenye vituo teule vifaa vya TEHAMA vilivyogawiwa kwa vituo zaidi ya 800 kupitia mradi wa kuboresha Elimu ya Awali na  Msingi (BOOST).

Mchengerwa aliyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati  wa uzinduzi wa  ugawaji wa vifaa vya TEHAMA  kwa vituo  vya walimu na Shule za awali na Msingi uliofanyika Jijini Dodoma.

"Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri imarisheni ulinzi na usalama katika shule zitakazopokea vifaa vya TEHAMA na ndani ya siku tatu vifaa hivi viwe vimekabidhiwa kwa mikoa husika.

Amewataka kuhakikisha shule zinazopelekewa vifaa zisibadilishwe labda kwa kibali maalumu kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Aidha, Mhe. Mchengerwa amewataka watendaji hao kusimamia matumizi ya vifaa hivyo ili kuleta mapinduzi makubwa katika eneo la ujifunzaji na ufundishaji na kwamba yeye mwenyewe atapita kukagua utekelezaji wake lakini pia matarajio ya Serikali ni kuongeza vifaa zaidi ili shule zote ziweze kufikiwa.

Mchengerwa amemshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za dhati katika kuboresha sekta ya elimu nchini 

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Franklin Rwezamula ameipongeza Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kununua vifaa vya TEHAMA kupitia Mradi wa Kukuza Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) kwa lengo la kuimarisha vituo vya walimu (TRC) na shule zilizoteuliwa kama sehemu muhimu ya kutolea Mafunzo endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA) na kuwezesha zoezi la Ufundishaji na Ujifunzaji kwa wanafunzi ambao watatumia vituo hivyo zaidi ya 800 

Aidha,  amesema Wizara ya elimu itaendelea kutoa ushirikiano katika utekelezaji wa Sera mpya ya Elimu ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 ambayo sasa ipo katika utekelezaji wake kwenye mitaala iliyoboreshwa hapa nchini.  

Akitoa shukrani zake kwa Serikali mwanafunzi  wa shule ya Msingi Mtemi Mazengo Valikaeli Mfinanga  ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia vifaa vya TEHAMA kwa ajili ya kujifunzia masomo ya sayansi kwa vitendo kwa kuwa  vitawasaidia kuwa na ukurasa mmoja na wanafunzi wengine ndani nje ya Tanzania na kupata ujuzi na maarifa mbalimbali.

Mradi wa  uboreshaji wa elimu   ya awali na msingi (BOOST) mpaka sasa umejenga shule mpya  302  za awali na  msingi ofisi za walimu, mabweni na matundu ya vyoo .

Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.