• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Handeni Wamfurahisha Ummy Ujenzi wa Madarasa ya UVIKO.

Imewekwa tar.: December 6th, 2021

Halmashauri ya Mji wa Handeni imepongezwa kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo hususan ujenzi wa madarasa kwa shule za Msingi na Sekondari  kwa kutumia pesa za UVIKO.

Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu (Mb) alipotembelea Halmashauri ya Mji wa Handeni leo Disemba 6, 2021 kukagua miradi ya Maendeleo.

“Nimefurahishwa sana na ubunifu wenu, tumeleta fedha za madarasa 22 hapa, lakini mkaona kuna kata ipo mbali na haina shule, wananchi wameanza kujenga madarasa yao, kwa hiyo zile hela za UVIKO mkaleta hapa madarasa mawili ili kuwapunguzia umbali watotp wa kata hii ya Malezi wanaotembea takribani kilomita 19 kwenda Handeni mjini. Jambo hili ni zuri ninawapongeza sana,”Alisema Ummy

Waziri Ummy alieleza kuwa ameambiwa wanaomaliza kidato cha nne kwa Halmashauri ya mji wa Handeni ni 1100 na wanaotarajiwa kuanza kidato cha kwanza January 2022 ni wanafunzi 1668 na kuleta ongezeko la wanafunzi 667.

Alieleza kuwa wanafunzi wote kwa mara ya kwanza historia inaandikwa, wanaenda kuanza shule kwa siku moja ifikapo Januari 17,2022 na kuwataka  kukamilisha madarasa 22 ya Kidato cha kwanza ifikapo Disemba 15, 2021.

“Mmesema hapa Handeni Kidato cha nne wanaacha madarasa 24 kakini Halmashauri inaenda kukamilisha ujenzi wa madarasa 22 hivyo kutakuwa na jumla ya madarasa 46 maana yake hakuna mtoto wa Handeni atakayebaki nyumbani kwa sababu amekosa darasa. Hii ni hitoria inaenaenda kuandikwa kwa mara ya kwanza Nchini Tanzania na Rais Samia Suluhu Hassan, “alisema Ummy.

Aidha waziri Ummy aliwataka wakurugenzi wote kukamilisha ujenzi wa madarasa 12000 yanayojengwa Nchi nzima, ifikapo tarehe 15 Disemba, 2021 ikiwa imebaki takribani wiki moja.

Pia waziri Ummy aliwaagiza wakurugenzi kutumia mapato ya ndani kujenga vyoo vya wanafunzi  na wasitarajie kwamba fedha ya kujenga vyoo itatoka Serikali kuu,.

Kwa mujibu wa mwongozo wa wizara ya Elimu darasa moja ni lazima liwe na matundu ya vyoo mawili.

“ Tamisemi hatupoi na hatusubiri hivyo msisubiri Serikali kuu. Sisi tunaleta madarasa,  nguvu za wananchi pamoja na Halmashauri mzielekeze kwenye ujenzi wa natundu ya vyoo pamoja na ujenzi wa nyumba za walimu. Hivyo ni lazima wakurugenzi mjiongeze, “ alisema Ummy.

Katika shule za kata 214 za Sekondari zinazojengwa Nchi nzima Mkoa wa Tanga zinajengwa shule 12 zenye thamani ya shilingi bilioni 5.6 na kwa Halmashauri ya Handeni inajengwa katika kata ya Mlemani.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni laki mbili na elfu 60 kwa miaka sita

    May 15, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu Mwambene aendesha kikao kazi kati ya Serikali na Umoja wa Ulaya

    May 14, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUTOA  MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.

    May 13, 2025
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA ZOEZI LA USAFI WA BARABARA

    May 13, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.