• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Halmashauri 144 zanufaika na MEWAKA

Imewekwa tar.: May 13th, 2022

Asila Twaha – Bukoba Dc

Halmashauri 144 kati ya 184 zilizoko Tanzania bara zimenufaika na mafunzo endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA) ili kuwajengea uwezo  walimu katika utoaji wa elimu bora na kuendana na uboreshaji wa Elimu unaoendelea nchi nzima.

Mratibu wa Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini(MEWAKA) Cosmas Mahenge amesema, mpaka sasa Walimu kutoka Halmashauri takribani 122 zimeshapatiwa mafunzo hayo na sasa wanamaliza katika Kanda ya Ziwa na Magharibi.

Mahenge ameleeleza hayo tarehe 9 Mei, 2022 Mkoani Kagera wakati akiongea na walimu wakati wa kufungua mafunzo  hayo anakueleza kuwa, mafunzo hayo yamelenga walimu wa shule ya awali na msingi lengo ni kuwaendeleza kitaalam na kitaaluma kuwapa mbinu za ujifunzaji na ufundishaji na jinsi ya kuweza kutatua changamoto wanapokuwa katika vituo vya kazi.

Amesema mafunzo ya MEWAKA mbali ya kujifunza mbinu za ujifunzaji na ufundishaji  yatamsaidia mwalimu kuendana na mabadiliko yanayotokea katika elimu  na jamii tunayoishi na walimu  ni lazima wabadilike.

tunaamini umahiri  na njia bora ya mwalimu anayotumia  ndio inaenda kumsaidia mwanafunzi awe bora zaidi.

Aidha, amesema baada ya mafunzo hayo kumalizika takribani walimu 26,657 watakuwa wamepata mafunzo na Halmashauri 144.

“Niwaombe walimu pamoja na kuendelea kwamafunzo haya yasiathiri ratiba za  kufundishia madarasani hivyo kila mmoja asingatie sheria, kanuni na taratibu za mafunzo na tuwe mabalozi  wazuri kwa walimu wenzetu na wanafunzi wetu tunaowasimamia” amsesema Cosmas

Kwa upande wa Mwenyekiti wa Wawezeshaji wa MEWAKA Bw. Ferdinand Mlandali amesema, maufunzo yatamsaidia mwalimu kujifunza na kuendana na mabadiliko ya sekta ya elimu.

Walimu watawezeshwa kujua njia za kujifunza ikiwemo mitaala na kumsaidia kuendana na karne ya 21 ikiwa ni pamoja na  mawasiliano, ubunifu, namna ya kujifunza kwa pamoja ili kuwasaidia wanafunzi hata wanapo rudi nyumbani waweza kufanya vizuri.

Aidha, amesema mafunzo haya pia yatamuwezesha mwalimu kujua njia ya “learning management system” na kuweza kujifunza kutumia maktaba mtandao kwa kuweza kupakua/kupata na  materials mbalimbali.

Naye Sista Felista Pamerace(Mwl.Shule ya Msingi Mwemage) amesema, wapo tayari kujifunza na kuelekezwa na kuwa mabalozi wazuri wa walimu wenzao kwa kuwaelekeza na  kwa wanafunzi kuweza kuwafundisha.

“Tuliomba muda mrefu Serikali iweze kutupatia mafunzo haya kwa kuanza kwa mafunzo haya ya MEWEKA yatatusaidia sisi walimu kuweza kutumia ile elimu tutakayoipata kuweza kuwapatia  wanafunzi wetu  na jamii kwaujumla. 

Tunaishukuru Serikali tunaomba iendelee  na  mafunzo haya ”amesema Mwl. Bryson Rugemalila mshiriki wa mafunzo

Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA) kwa Kanda ya Magharib yanaendela kufanyika  Mikoa ya Kagera, Kigoma, Shinyanga na Tabora.


Matangazo

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • Angalia zote

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.