Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Dkt. Mahera: Simamieni utoaji wa huduma za malezi ya watoto

Imewekwa tar.: July 1st, 2023

 Na. Fred Kibano - Dodoma

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Afya,  Dkt. Wilson Mahera amewaasa Maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii wa Wizara za kisekta kuboresha na kusimamia utoaji wa huduma za malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto nchini.

Akifunga mafunzo hayo ya Sayansi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto leo Julai, Mosi, 2023 jijini Dodoma, Dkt. Mahera amesema serikali inatambua umuhimu wa kuwajengea uwezo wataalam ambao  watachochea uwekezaji mkubwa zaidi kwenye malezi na makuzi bora  ya watoto wa Tanzania.

Aidha, amewataka Maafisa hao kwenda kuutumia ujuzi walioupata kwenye maeneo yao ya kazi ili kuhakikisha watoto wenye umri wa miaka sifuri hadi nane wanapatiwa huduma bora za malezi, lishe, ujifunzaji wa awali na usalama wao kwa ustawi wa Taifa ikiwa ni pamoja na wao wenyewe kuonyesha utofauti walivyokuwa hapo awali na baada ya kupata mafunzo hayo.


“Napenda kuchukua fursa hii kutoa rai kwa wataalam mliopata  mafunzo haya mkatumie elimu mliyoipata kwenye maeneo mnayofanyia kazi pia mkawe mabalozi wa kuhakikisha watoto wadogo  wenye umri wa miaka 0-8 wanapatiwa huduma za malezi jumuishi ikiwemo Afya bora, Lishe Bora, Malezi yenye Mwitikio, Ujifunzaji wa awali na ulinzi na usalama” amesisitiza Dkt. Mahera.

Akitoa maelezo ya awali kabla ya hotuba ya mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya Haki na Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Sebastian Kitiku amesema Serikali imekuja na Programu mahususi ya kuwatengeneza watoto wenye umri wa miaka 0 hadi 8 kwa kuzingatia maeneo manne ya afya, lishe, ujifunzaji wa mtoto na makuzi ya mtoto mwenyewe kwa kuwa ndio eneo ambalo asilimia 90 ya ubongo wa binadamu unatengenezwa kupata watu wanaofikiri na hivyo uwekezaji huo utalisaidia Taifa katika nyanja mbalimbali hapo baade.

Akitoa neno la shukrani Martin Chuwa Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Maafisa Maendeo ya Jamii Mikoa Tanzania Bara amesema mafunzo hayo yatasaidia katika kukabiliana na changamoto za jamii ambazo wanakutana nazo lakini pia kuboresha mafunzo katika ngazi za Mikoa na Halmashauri.  

Mafunzo hayo yamedhaminiwa na Mtandao wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, shirika la ‘’Children in Crossfire’’ pamoja na Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari vinara wa MMMAM Tanzania kupitia Mradi wa Mtoto Kwanza washiriki wakiwa Maafisa kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wizara ya Afya, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Maafisa Ustawi wa Jamii, Maafisa  Maendeleo ya Jamii wa Mikoa Mikoa 16.


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Nipo tayari kufanya kazi pamoja nanyi kufikia malengo ya Mhe. Rais – Prof. Tumaini Nagu

    May 26, 2025
  • TARURA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.