• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
    • Ramani za mradi wa BOOST
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Dar, Mwanza, tishio UMISSETA

Imewekwa tar.: June 11th, 2019

Na Mathew Kwembe, Mtwara

Timu za netiboli za mikoa ya Mwanza na Dar es salaam zimegeuka kuwa tishio kwenye michezo ya UMISSETA hatua ya makundi inayoendelea kwenye viwanja vya chuo cha ualimu Mtwara na shule ya ufundi ya Mtwara.

Katika michezo iliyochezwa jana timu ya netiboli ya mkoa wa Mwanza iliibugiza timu wenyeji ya mkoa wa Mtwara kwa magoli 37 kwa 8, huku timu ya Dar es salaam iliwabamiza jirani zao kutoka mkoa wa Pwani kwa magoli 49 kwa 3.

Matokeo mengine yanaonyesha Tanga imeifunga Singida magoli 31 kwa 21, Morogoro imeifunga Mbeya 27 kwa 23, huku timu ya netiboli ya Lindi ikipata ushindi dhidi ya katavi kwa magoli 23 kwa 16, Kilimanjaro ilifungwa na Songwe kwa magoli 18 kwa 13, Mara iliifunga Njombe kwa 27 kwa 6 na Simiyu iliifunga Arusha kwa mabao 25 kwa 11.

Pia timu ya netiboli ya mkoa wa Ruvuma iliifunga kigoma kwa magoli 18 kwa 12, Dodoma iliibugiza Unguja kwa 21 kwa 12 na Rukwa ilifungwa na Tabora kwa magoli 13 kwa 15.  

Michezo mingine itaendelea kesho katika viwanja hivyo.


Matangazo

  • Majina ya waliopata vibali vya Uhamisho wa Kawaida na Kubadilishana (Januari - Julai 2023) October 14, 2023
  • DMDP Documents October 12, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGIWA SHULE CHAGUO PILI MWAKA, 2023 October 04, 2023
  • TANGAZO LA KUTWA KAZINI September 13, 2023
  • Terms of Reference TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS PROJECT (TACTIC) September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA MPYA 2023 AWAMU YA PILI August 30, 2023
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MAAFISA TARAFA NA KATA IJUENI NA MUISIMAMIE MIRADI YA MAENDELEO

    November 26, 2023
  • WATENDAJI WA KATA NA MAAFISA TARAFA MSIKWEPE MAJUKUMU YENU-MHE MURAGILI

    November 23, 2023
  • SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA UTOAJI WA CHAKULA SHULENI

    November 17, 2023
  • UINGEREZA YATOA MAGARI KWA TAMISEMI NA WIZARA YA ELIMU

    November 17, 2023
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.