Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

Bilioni 535.6 kutekeleza vipaombele katika Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa

Imewekwa tar.: October 13th, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa kati ya fedha trilioni 1.3  mkopo kutoka  shirika la fedha Duniani kwa ajili ya mpango wa maendeleo  kwa Ustawi wa Taifa  na Mapambano dhidi ya UVIKO -19 Mamlaka za Serikali za Mitaa  imeidhinishiwa kiasi cha shilingi  bilioni 535.6 ambazo ni sawa  na asilimia 41.1 ya fedha zote

Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mpango  wa matumizi ya fedha  za mapambano  dhidi  ya UVIKO -19  katika Tawala za Mikoa  na Mamlaka za  Serikali za Mitaa  leo katika ukumbi  wa TAMISEMI  Mtumba Jijini Dodoma Waziri Ummy amesema  fedha hizo zitatumika kutekeleza vipaombele  mbalimbali katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa

Waziri Ummy amesema kuwa katika fedha hizo  shilingi bilioni 302.7  ni kwa ajili ya elimu msingi , bilioni 226.6  kwa ajili ya afya ya msingi, zikiwemo zahanati, vituo vya afya na Hosptali za Wilaya  na shilingi bilioni 5 kwa ajili ya kuboresha miundombinu  na mazingira ya kufanyia bishara au wajasiriamli wadogo

Amesema fedha zimeelekezwa kwenye maeneo ambayo yanawagusa wananchi lengo likiwa ni  kuwaondolea kero katika kuzifikia na kuzipata huduma za afya, elimu,  kuwawezesha wananchi kiuchumi na kuwakinga  dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19

Waziri Ummy aneendelea kufafanua kuwa kwa upande wa Elimu Msingi fedha hizo zitatumika kuongeza vyumba vya madarasa 12,000 katika shule za Sekondari  kwa kuwa wanafunzi wanaotarajiwa kufaulu na kujiunga na kidato cha kwanza januari, 2022 ni wanafunzi miliomi 1,022,936, ambapo uhitaji wa vyumba vya madarasa madarasa 20, 535 wakati madarasa yanayoachwa na wanafunzi wanaomaliza kidato channe mwaka huu ni vyumba vya madarasa 8,535 hivyo kunauhitaji wa vyumba vya madarasa.

Amesema ongezeko la vyumba vya madarasa kutawasaidia wanafunzi  6000  kuwa na madarasa  na kuwaondolea changamoto ya upungufu wa madarasa ya kuanza kidato cha kwanza kwa asilimia 100 katika shule zetu za sekondari, pia fedha hizo zitatumika kununua viti na meza  6000  na kuboresha mazingira ya kufundisha na kujifunzia

Vilevile Waziri Ummy amesema shilingi bilioni 226.6 zinaelekezwa katika huduma za afya ya msingi ambapo kutaanzishwa huduma za dharura katika Halmashauri 75 na kujenga majengo ya huduma za wagonjwa mahututi 25 katika Halmashauri 25 za kimkakati, ambapo vigezo viliyotumika ni kuangalia idadi ya watu, maeneo yenye umbali mrefu wa upatikanaji wa huduma za dharura, maeneo yenye milipuko ya magonjwa na maeneo yenye chagamoto za ajali.

Amesema kwenye huduma za afya ya msingi kutasimikwa  mitambo mitano ya kufua Oxygen  katika Halmashauri  5 ambapo vigezo vilivyptumika ni maeneo yenye magonjwa yenye mlipuko wa mara kwa mara, maeneo yenye wananchi wengi na maeneo yaliyombali na makao makuu ya  halmashauri.pia zitanunuliwa  magari ya kubebea wagonjwa  195 na ununuzi  wa magari kwa ajili ya usimamizi wa afya msingi

Aidha Waziri Ummy amesema kutanunuliwa mitambo 60 ya huduma ya mionzi (mashine za X-RAY) ambazo zitapelekwa kwenye Hospitali za Halmashauri ambazo hazina mashine hizo ambapo shilingi bilioni 25.2 kwa ajili ya kuweka mashine za Xray na kila mashine itagharimu kiasi cha shilingi milioni 420


Matangazo

  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert (extension) 1 May 28, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert (extension) May 28, 2025
  • TOR - Msimbazi Watershed Management – Modelling May 26, 2025
  • Monitoring & Support, TOR - DMDP 2 SWM Service Framework & Delivery System in Dar May 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • RC CHALAMILA ATAKA MACHINGA KARIAKOO KUFUNGUA NJIA

    May 30, 2025
  • Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana watakiwa kuzingatia miongozo na kanuni zilizopo.

    May 29, 2025
  • Mhe. Katimba awapokea Wabunge wa Zambia waliokuja kujifunza kuhusu Usimamizi na Uendeshaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara

    May 28, 2025
  • Mtwale Atoa Mwongozo kwa Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.