Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

BILIONI 4 ZAPELEKWA MBOZI KUJENGA BARABARA KUPITIA TARURA: SILINDE

Imewekwa tar.: February 14th, 2023

OR - TAMISEMI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Mhe. David Silinde (Mb) amesema Bajeti ya  Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi imeongezeka mara nne hadi kufikia shilingi bilioni 4 katika mwaka wa fedha 2022/23.

Amesema hayo leo tarehe 14 Februari, 2023 wakati wa ziara ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa  wakati akizungumza na wananchi wa Mlowo katikaHalmashauri ya Wilaya Mbozi Mkoani Songwe.

“Wakati Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani alikuta bajeti ya TARURA katika Halmashauri ya Mbozi ilikuwa bilioni 1.7 lakini kwa sasa bajeti imepanda kufikia bilioni 4 katika mwaka wa fedha 2022/23” amesema Mhe. Silinde

Amesema kupitia mradi wa kujenga barabara katika maeneo ya uzalishaji wa mazao ya kilimo “Agri-connect”, barabara ya Ilolo - Ndolezi yenye kilometa 11 inajengwa kwa kiwango cha lami katika katika Wilaya ya Mbozi ambayo inaanza kutekelezwa hivi karibuni.

Aidha, Mhe. Silinde amesema katika awamu ya pili ya mradi wa Agri-connect, barabara kutoka Mlowo mpaka Isanza ya kilometa 10 itajengwa kwa kiwango cha lami ili kuwezesha wakulima kusafirisha mazao yao.

Katika Sekta ya Elimu, Amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameleta bilioni 1.32 kwa ajili ya kujenga madarasa katika Halmashauri ya Mbozi ili kuwezesha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wanaingia darasani kwa wakati Mmoja.

Mhe. Silinde amesema Shule Maalum ya sayansi ya wasichana ya Mkoa wa Songwe ya shilingi bilioni 4 inaendelea kujengwa katika Mkoa wa Songwe ambayo itapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita.

Kadhalika, Silinde amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameboresha utoaji wa huduma za afya kwa kuwezesha ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Mbozi ambayo imeanza kutoa uduma za awali.

Pia. Mhe. Silinde amesema Ujenzi wa vituo vya afya vipya sita unaendelea katika Halmashauri ya Mbozi ambapo jimbo la Viwawa vinajengwa vituo vya afya vitatu na jimbo la Mbozi vinajengwa vituo vya afya vitatu.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • NENDENI MKAITANGAZE SERIKALI.

    May 24, 2025
  • SOKO LA KISASA LA NYAMA CHOMA LAZINDULIWA VINGUNGUTI

    May 24, 2025
  • DKT. Biteko asisitiza wazazi kuthamini nafasi ya familia katika malezi na makuzi ya mtoto.

    May 24, 2025
  • Mhe. Rais Samia amtaka Prof. Nagu kuboresha  huduma ya afya ya msingi.

    May 24, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.