Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

BASHUNGWA ASISITIZA NIDHAMU NA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA UMMA

Imewekwa tar.: May 27th, 2022

OR -TAMSIEMI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali itaendelea kusimamia Watumishi wa Umma kufanya kazi kwa nidhamu na uwajibikaji wakati wa kuwahudumia wananchi.

Ameeleza hayo  Mei 27, 2022 Jijini Dodoma wakati akifunga kikao kazi cha Wakuu wa Idara/ Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma lengo likiwa ni kuwajengea uwezo, kufuata taratibu za kazi na kuwa na ubunifu katika maeneo yao ya kazi.

“Tufahamu  mishahara yetu inatokana na wananchi, wajibu wako kama mkuu wa Idara ya utawala na rasilimali watu ni kutekeleza wajibu wako kwa watumishi ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi na hilo ndio lengo la Serikali” amesema Waziri Bashungwa

Bashungwa amewaelekeza Maafisa utumishi wa Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuwasadia Wakuregenzi katika kutekeleza na kufanya maamuzi ya kiutendaji katika halmashauri zao "ninyi mna mamlaka ya kumshauri Mkurugenzi kufanya maamuzi sahihi ya kiutumishi timizeni wajibu huo kwa kutenda haki"

“pamoja na kusimamia maadili ya utumishi wa umma pia mna wajibu wa  kusimamia miradi  ya maendeleo kwasababu inatekelezwa na watumishi, tukifuatilia utendaji kazi katika maeneo yenu na kukuta changamoto, afisa utumishi utawajibika sababu unakuwa umeshindwa kusimamia  kazi yako ya rasilimaliwatu” amesisitiza Waziri Bashungwa

Aidha, Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro kushirikiana  na Ofisi ya Rais, TAMISEMI kufanyia kazi suala la watumishi  wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kukaimu nafasi mbalimbali kwa muda mrefu, kulifanyia kazi kwa  kufuata taratibu, sheria na kanuni za kiutumishi iliwaweze kushika nafasi hizo na kutekeleza majukumu yao  ipasavyo.

Kwa upande wa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka maafisa utumishi  kuangalia kero za utumishi amesema zipo changamoto zinatokea katika maeneo yao ya kazi mtumishi hapati huduma mpaka anapeleka kero zake kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Utumishi hilo halikubaliki amewataka kujielekeza kwenye utendaji kazi kwa kufuata  sheria na haki katika kufanya maamuzi.

Naye Mwenyekiti wa  Maafisa Utumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Bi. Tabia Mohamed ametoa kwa kuwepo kwa  kikao hicho ambacho l kinasaidia kuwakumbusha majukumu yao pia kujifunza  utumiaji wa mfumo mpya wa kuweka taarifa za watumishi ambapo  wao ndio  walengwa  wa utumiaji  wa mfumo huo amesema, mfumo wa  Usimamizi wa Utendaji Kazi kwa Watumishi wa Umma (PEPMIS)  utawasaidiawa kuweka taarifa sahihi  za watumishi na kupima uwajibikaji.  

Kikao kazi cha  Wakuu wa Idara na Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kiliendana na kauli mbiu inayosema "Utumishi wa Umma wenye Uadilifu, Nidhamu, Ubunifu, Weledi na Uwajibikaji wa Hiari kwa  Ustawi wa Jamii”



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.