Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

ALAT yaunga Mkono Agizo la JPM, Yajenga Ofisi Dodoma

Imewekwa tar.: February 11th, 2019

Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) imeunga mkono agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Joseph Magufuli lililotaka Taasisi zote kuhamia Makao Makuu ya Nchi kwa kuanza ujenzi wa Jengo la Kitega uchumi katika kiwanja chao kilichopo eneo la Tambukareli barabara ya chuo kikuu cha Dodoma Jijini hapa.

Akizungumza katika ziara ya kutembelea Jengo dogo linaloendelea kujengwa hivi sasa  Mwenyekiti wa ALAT Taifa Mhe.Gullam Hafeez Mukadam amesema wameanza na kujenga jengo dogo kwa ajili ya Ofisi ambalo litakamilika mwishoni mwa mwezi huu.

“Kama mnavyoona hapa ujenzi unaendelea na tumeamua kuanza kwa kujenga jengo dogo la Utawala ambalo litatumiwa na watumishi na viongozi wote wa ALAT na eneo linalobakia ndio ambalo litajengwa Jengo la Kitegauchumi” alisema Mhe. Mukadam.

Aliongeza kuwa kiwanja hiki kina ukubwa wa zaidi  Square meter  6000 na hili jengo linalojengwa sasa linatumia takribani Sqm 1000 tu hivyo eneo lililobakia ni kubwa na litatosha kwa ajili ya mradi wetu wa kitega uchumi tunaoutarajia.

Alizitaka Halmashauri zote Nchini kuendelea kulipa ada za uanachama kwani ndio mapato ya Jumuiya hiyo yatakayosaidia katika ujenzi wa Kitega uchumi hicho na shughuli zingine za maendeleo.

Aidha Mhe. Mukadam alimshkuru Rais John Magufuli kwa ahadi yake ya kuunga mkono mradi wa ujenzi wa jengo hilo la kitega uchumi.

Akizungumza katika ziara hiyo Katibu Mkuu wa ALAT Abdalah S. Ngodu amesema kuwa jengo dogo la Ofisi linaloendelea kujengwa hivi sasa litagharimu jumla ya shilingi Mil. 156 na litakamilika mwishoni mwa mwezi huu.

“Sisi kama jumuiya ya Serikali za Mitaakatika ujenzi wa jengo hili hatuna mkandarasi  tunatumia mafundi wa jamii  ‘Force Account’ kama ilivyothibitika katika ameneo mengi kuwa ujenzi huu hutumia gharama kidogo huku ubora ukizingatiwa” Alisema Ngodu.

Naye Mhandisi anayesimamia jengo hilo ambaye ni mtumishi wa Jiji la Dodoma Nicodemus Kileo amesema mpaka sasa ujenzi unaendelea vizuri na hakuna changamoto kubwa zilizojitokeza hivyo wanatarajia kukamilisha ujenzi huo kwa muda uliopangwa.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.