• Contact us |
    • FAQ |
    • Complaints |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

The United Republic of Tanzania

President's Office Regional Administration and Local Government

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Mpango Miji Mkakati (TSCP)
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Videos

  • Rais Dkt. John Pombe Magufuli Dodoma

    November 28th, 2019

    Hii ndio Miradi iliyozinduliwa na Rais hapa Dodoma.

  • Kipenga Uchukuaji Fomu za Uchaguzi Srikali za Mitaa 2019

    October 31st, 2019

    Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo, kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi wa Serikali wa Mitaa 2019 ametangaza rasmi siku saba za kuchukua na kurejesha fomu za kugombea nafasi za uongozi.

    Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu za kugombea kwa nafasi mbalimbali katika ngazi za Vijiji, Mitaa, Vitongoji na Wajumbe wa Serikali ya Kijiji na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa kwa ajili ya uchaguzi serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24 mwaka huu litaanza tarehe 29, Oktoba na litahitimishwa tarehe 4 Novemba, 2019, zoezi ambalo litakuwa la siku tisa.

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake, Jijini Dodoma, Waziri Jafo amesema zoezi hilo linahusisha wananchi  wenye sifa na ambao wamepitishwa katika vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu na waliokamilisha taratibu zote kwenye vyama vyao.

    Mhe. Jafo pia amewataka  wananchi wote  wenye nia ya kuongoza katika serikali za Mitaa kutumia siku zilizowekwa kikamilifu kwa kwenda kuchukua fomu za kugombea kupitia vyama vyao.

    “Zoezi hili litaanza rasmi kesho tarehe 29/10 na litahitimishwa siku ya tarehe 4/11, 2019, na watakao takiwa kugombea ni wale wanaotoka katika vyama vyenye usajili wa kudumu na waliopitishwa na vyama vyao” amesema Waziri Jafo.

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

    October 13th, 2019

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akihimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwaajili wa uchaguwa wa serikali za Mitaa 2019

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • Next →

Announcements

  • Orodha ya Watumishi ambao wamehamishwa kwa kipindi cha Kuanzia tarehe 01 April, 2021 hadi Juni, 2021 May 06, 2021
  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • View All

Latest News

  • Halmashauri 3 Mkoa wa Dodoma zapatiwa milioni 343.9 kwa ajili ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi

    June 15, 2022
  • OR-TAMISEMI yatoa siku 20 kwa Waganga Wakuu wa mikoa

    June 12, 2022
  • BASHUNGWA AWASIMAMISHA KAZI AFISA MANUNUZI NA MKAGUZI WA NDANI HALMASHAURI YA WILAYA KARAGWE

    June 12, 2022
  • WAZIRI BASHUNGWA AWANYOOSHEA KIDOLE TBA,VETA KUTOKAMILISHA UJENZI WA CHUO CHA VETA KARAGWE

    June 12, 2022
  • View All

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
More Videos

Quick Links

Related Links

World visitors tracker

world map hits counter

Location Map

Contact us

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Started on: 27th. July 2015
click here

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.