• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Contact us |
    • FAQ |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

The United Republic of Tanzania

President's Office Regional Administration and Local Government

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Mpango Miji Mkakati (TSCP)
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
    • Machaguo Kidato cha 5 & Vyuo

WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

Posted on: May 17th, 2022

Asila Twaha, Kaliua

Washiriki wa Mafunzo  Endelevu Kazini MEWAKA  wameiomba Serikali kuendelea kuvisimamia na kuviwezesha vituo vya MEWAKA katika shule ili viweze kufanya kazi  kwa ufanisi na kwa  kupitia vituo hivyo walimu waeleze changamoto zao.

Hayo yamebainishwa  na mshiriki wa mfunzo ya MEWAKA Mwl. Furaha Mwakasembe katika mafunzo yaliyofanyika hivi karibuni Mkoani Tabora Shule ya msingi Ushokola Halmashauri ya Wilaya ya Urambo lengo la mfunzo hayo likiwa ni kuwajengea uwezo walimu.

Mwakasembe amesema, pamoja na kuchelewa kwa mafunzo hayo wanaishukuru Serikali kuona ni muhimu walimu kupatiwa mafunzo kwa lengo la kuwajengea uwezo na jinsi ya  kuviendeleza vituo vya MEWAKA mashuleni.

Aidha, amesema walimu itawasaidia kujifunza, kutatua changamoto na kupata maarifa mapya wanapokutana watabadilisha uzoefu na kushauriana sababu kazi ya ualimu kila siku unatakiwa uwe na mbinu  mpya za ujifunzaji na ufundishaji.

Hata hivyo, pamoja na mafunzo haya kuendelea  ambapo  kila shule imepata nafasi ya ushiriki wa walimu wawili mwalimu wa  taaluma na mwalimu mahiri  amesema  wakimaliza mafunzo hayo wanaenda kuwa mfano na viongozi bora kwa walimu wenzao kuweza kushirikiana nao kwa yale walio fundishwa na kwa wanafunzi wao.

“Tunaiomba Serikali kuendele kuviwezesha na kuvipa nguvu vituo vya MEWAKA katika suala la usimamizi wa kufuata sheria, taratibu na miongozo ili visije vikasimamishwa amesema.

Ili Serikali ipate maendeleo katika uboreshaji wa elimu nchini ni lazima vituo hivyo kuvisimamia sababu vitawasaidia kujua changamoto za elimu nchini” amesema Mwakasembe

Aidha, ameiomba Serikali kuendelea kuisimamia sekta ya elimu kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya elimu  ikiwa wao walimu wa shule za awali na msingi ndio msingi elimu wapo tayari kuendelea  kutoa elimu bora kwa wanafunzi waliopewa jukumu la kuwasimamia.

Naye Mwl. Levina Mwanchang’a mshiriki wa mafunzo (Shule ya Msingi Senga) amesema, mwanzo walikuwa wanafundisha kwa uzoefu  mwalimu hana mbinu mpya za kufundishia bila kujua kuna mabadilko katika ujifunzaji na  ufundishaji  kwa kupata mafunzo hayo yanaenda kuwasaidia kuongeza ujuzi na maarifa.

“Sio lazima  uwe na nakala ngumu  ndio uweze kupata materials unaweza kupata mbinu za kufundishia hata ukiwa na simu janja yenye uwezo wa kupata mtandao kuweza kupakua vitabu mbalimbali kutoka kwenye taasisi zetu za elimu na kupata “materials” yote haya tumeyapata kwenye mafunzo ya MEWAKA” amesema Mwl. Mwanchang’a

Kwa upande wa Mratibu wa Halmashuri ya Wilaya ya Kaliua Mwl. Matuna Massati amesema, jumla ya washirki 226 wameshiriki na tathmini wanayoendelea kuifanya  baada ya mafunzo imeonyesha walimu wapo makini.

Kwa sababu mafunzo yanayoendelea ni kuwajengea uwezo katika utendaji kazi wao Serikali inaamini kumalizika kwa mafunzo hayo walimu wataenda kuwa viongozi bora katika utekelezaji wa kazi zao.



Announcements

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • View All

Latest News

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • View All

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
More Videos

Quick Links

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Related Links

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Location Map

Contact us

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    Postal Address: 1923 Dodoma - Tanzania

    Telephone: +255 262 321 234

    Mobile:

    Email: ps@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Started on: 27th. July 2015
click here

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.