• Contact us |
    • FAQ |
    • Complaints |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

The United Republic of Tanzania

President's Office Regional Administration and Local Government

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Mpango Miji Mkakati (TSCP)
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Tushirikiane kusimamia miradi ya ujenzi wa EMD na ICU - Dkt. Grace

Posted on: November 30th, 2021


Na Asila Twaha, TAMISEMI

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Grace Magembe amewataka wataalam wa Afya kusimamia fedha zilizopekwa kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya Afya ikiwemo ujenzi wa EMD na ICU.

Akifungua kikao kazi cha kuwajengea uwezo Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri, Wahandisi wa Mikoa na Halmashauri na Waganga Wafawidhi wa hospitali zinazotekeleza miradi ya huduma za dharura -EMD na ICU leo Jijini Dodoma Dkt. Grace amesema kuwa, Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi bilioni 236 kwa ajili ya miradi ya afya inayolenga kujikinga na athari za ugonjwa wa COVID -19 ikiwemo miradi ya ujenzi wa huduma za dharura (EMD) na ICU.

Ameendelea kufafanua fedha zilizotolewa ni pamoja na kujenga majengo ya huduma dharura 80, ununuzi wa vifaa tiba, ununuzi wa magari ya kubebea wagonjwa(Ambulances) 195, ujenzi wa huduma ya hewa tiba ya oksijeni ambapo jumla ya oksijeni 5 zitajengwa katika maeneo matano ya kimkakati,  kuimarisha huduma za X-Ray, ununuzi wa mashine 60 za X-Ray na ununuzi wa magari ya usimamizi wa huduma za afya.

Dkt. Grace amesema kikao hicho kitaleta manufaa  kwa kuwakutanisha wataalam hao kwenda kushirikiana na kuleta ufanisi katika kusimamia na kutekeleza  miradi  ya ujenzi wa afya na  huduma za dharura na ICU katika maeneo yao kwani lengo  wananchi kupata huduma bora za afya.

“Kikao kazi hiki lengo ni tupate uelewa wa pamoja sababu sisi wote hapa ni wataalam hatutarajii kuona makosa yanatokea twendeni tukashirikiane kwa pamoja kwa kusimamia na kutekeleza dhamana tuliyopewa ili tutoe huduma bora kwa wananchi”.  amesema Dkt. Grace

Aidha, ameshukuru wandaaji wa mafunzo wakiwemo Abbott Fund Tanzania kwa kushirikiana na Serikali kuhakikisha wanawaleta pamoja wataalam hao na kuhakikisha sekta Afya inaendelea kufikia malengo yake katika kutoa huduma bora kwa wananchi.



Announcements

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • View All

Latest News

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • View All

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
More Videos

Quick Links

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Related Links

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Location Map

Contact us

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    Postal Address: 1923 Dodoma - Tanzania

    Telephone: +255 262 321 234

    Mobile:

    Email: ps@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Started on: 27th. July 2015
click here

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.