• Contact us |
    • FAQ |
    • Complaints |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

The United Republic of Tanzania

President's Office Regional Administration and Local Government

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Mpango Miji Mkakati (TSCP)
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

TAMISEMI ndani ya miaka minne

Posted on: November 30th, 2021

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu  amesema katika kipindi cha miaka 60 ya Uhuru, huduma za jamii zimeimarika na kusogezwa kwa jamii.

Akitoa taarifa  kwenye mkutano na waandishi wa Habari Mkoani Dodoma leo kuhusu mafanikio, Changamoto na muelekeo wa Tawala za Mikoa na Serikai za Mitaa katika kipindi cha miaka 60 ya Uhuru Waziri Ummy amesema katika kuimarisha ugatuaji wa madaraka kwa wananchi Serikali imekuwa ikisogeza huduma za kijamii kwa wananchi ambazo zimeimarika mara dufu.

Waziri Ummy ameendelea kufafanua kuwa katika kusogeza uhuduma karibu na wananchi, maeneo ya kiutawala yameongezeka kutoka Mikoa 15 ya baada ya Uhuru kutoka kwenye majimbo nane ya mwaka 1966, ambapo sasa kuna Mikoa 26   huku halmashauri zimefika 184 kutoka 45.

Amesema wakati wa Uhuru hakukuwa na Halmashauri za Majiji lakini kwa sasa kuna Halmashauri za Majiji 6, kulikuwa na Halmashauri ya Manispaa moja ya Dar –es- Salaam na sasa kuna Halmashauri za Manispaa 20, Halmashauri za Miji zilikuwa 9 na sasa Halmashauri za Miji ni 21 na Halmashauri za Wilaya zilikuwa 10 na sasa zipo Halmashauri za Wilaya 137.

Waziri Ummy  amesema hadi mwaka 2010 tulikuwa na Kata 3,952, Vijiji 10,351, Mitaa 2,650, Vitongoji 55,914. Hivi sasa kuna Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,318, Vitongoji 64,361 na Mitaa 4,263.

Kuhusu ushamirishaji wa demokrasia na ushiriki wa wananchi katika shughuli za maendeleo, Waziri Ummy amesema  tangu Serikali za Mitaa zilivyorejeshwa mwaka 1982 chaguzi katika ngazi ya Kata, Vijiji na Mitaa na Vitongoji zimefanyika  kwa ufanisi.

Amesema kumekuwa na mwamko mkubwa wa wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo ikiwemo kuibua miradi yao  na hadi kufikia June 2021,  kuna maboma ya Zahanati  2,378 yaliyoanzishwa kwa nguvu za wananchi.

Katika sekta ya elimu  Waziri Ummy amesema kwenye elimu wananchi wameanzisha ujenzi wa vyumba vya madarasa 10,300 katika Halmashauri mbalimbali na kati ya hayo Serikali ikatoa fedha ya tozo ya mawasiliano Sh bilioni 7 kwa ajili ya ukamilishaji wa vyumba vya madarasa 560.

Kuhusu usimamizi wa Rasilimali Fedha katika Mamlaka za Serikali za Mitaa, Ummy alisema katika miaka 60 ya Uhuru, Halmashauri zimepiga hatua ya ongezeko la mapato ya ndani.

Katika kipindi cha miaka kumi makisio ya makusanyo ya mapato ya ndani yaliongezeka kutoka Sh 175,084,789,727 mwaka wa fedha 2010/11 hadi Sh 814,960,990,077 kwa mwaka wa fedha 2020/21, ongezeko hilo ni Sh  639,876,200,350 sawa na asilimia 365.46.

“ Aidha, makusanyo ya mapato ya ndani katika kipindi hicho yaliongezeka kutoka shilingi 158,279,374,601 mwaka 2010/11 hadi shilingi 757,054,979,113 mwaka 2020/21. Ongezeko hilo ni shilingi 598,775,604,512 sawa na asilimia 378.30. Mafanikio ya makusanyo ya mapato ya ndani yametokana na Serikali kuimarisha usimamizi wa matumizi ya mifumo ya kielektroniki.”




Announcements

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • View All

Latest News

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • View All

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
More Videos

Quick Links

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Related Links

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Location Map

Contact us

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    Postal Address: 1923 Dodoma - Tanzania

    Telephone: +255 262 321 234

    Mobile:

    Email: ps@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Started on: 27th. July 2015
click here

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.