• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Contact us |
    • FAQ |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

The United Republic of Tanzania

President's Office Regional Administration and Local Government

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Mpango Miji Mkakati (TSCP)
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
    • Machaguo Kidato cha 5 & Vyuo

SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

Posted on: May 19th, 2022

Asila Twaha, Urambo

Serikali inatambua umuhimu wa somo la TEHAMA katika Sekta ya Elimu hasa kwa kutumia kama nyenzo ya kuongeza maarifa na ujuzi katika ufundishaji na ujifunzaji ndio mana mafunzo mbalimbali kwa sasa yanatolewa kwa njia ya masafa ili walimu waweze kuendana na wakati wa sasa.

Hayo amesema Mwezeshaji wa Mafunzo Endelevu Kazini (MEWAKA) Bi. Paula Soko wakati wa mafunzo yanayoendelea katika Halmashauri ya Wilaya ya  Urambo Mkoani Tabora yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo walimu na kujua lengo la  mafunzo hayo.

Soko amesema, pamoja na upitishwaji katika miongozo minne ambapo ni miongozo ya tathmini ya mahitaji ya walimu, uanzishwaji wa vituo vya MEWAKA, utekelezaji katika ngazi za shule na vituo vya walimu na usimamizi wa MEWAKA, somo la TEHAMA kwa walimu limefungua ufahamu mkubwa wa kuweza kupata njia  za ujifunzaji na ufundishaji kwa watoto wetu.

Vilevile Soko ameeleza katika kujua miongozo hiyo lakini pia walipitishwa katika moduli  ambapo wamezipata katika mfumo wa Kieletroniki kupitia TEHAMA  walimu wameweza kusoma kwa vitendo kwa kuweza kutumia simu janja na kopyuta kwa kuweza kupata "materials" zilizoandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania.

“Ni toe wito walimu wenzangu dunia ya ya sasa  inataka tufahamu vitu vingi nafahamu wengi tunatumia simu janja tuzitumie vizuri kwa faida tutakuwa na uwezo wa kujiendeleza wenyewe tukiwa kazini tutapata mambo mengi katika kufanya kazi zetu” amesema Soko

Naye Mratibu wa Mafunzo Mkoa wa Tabora Bw. Inyasi Kanisi ameishukuru Serikali kwa kwa mafunzo hayo kuendelea Mkoa huo amesema Halmashauri tano zinaendelea na mafunzo  Urambo, Uyui, Igunga, Kaliua na Sikonge aidha, ameeleza jumla ya washiriki 1157 wamepata mafunzo na anaamini kwa idadi hiyo wataenda kuwa mfano mzuri kwa wengine  kwa kuwaelekeza.

Mshiriki wa Mafunzo ya MEWAKA Mwl. Baraka Kisesebe amesema mpango uliokuja wa kuwezesha walimu hasa kutumia ufundishaji wa mtandao utawasaidia kupata vitabu  vya kufundishia na mbali ya vitabu  wataweza kujiendeleza kielimu hata kama wapo mbali wataweza kusoma kwa kutumia njia ya masafa.

“ Tunaiomba Serikali iendelee kuwekeza katika miundombinu ya elimu na upatikanaji wa mawasiliano sehemu ambazo hazina ili walimu tuwe na urahisi  wa kuweza kupata mawasiliano sababu mbali ya kuwa na simu janja lakini  inatakiwa iwe na uwezo wa kupata mtandao”


Announcements

  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • View All

Latest News

  • BASHUNGWA AWAAGIZA VIONGOZI WA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MIRADI YA MAENDELEO.

    July 02, 2022
  • Mameya, Wenyeviti wa Halmashuri watoa kongole kwa Rais Samia kuibadili Dodoma

    June 30, 2022
  • MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI SIMAMIENI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO- PROF. SHEMDOE

    June 30, 2022
  • WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA MAMEYA, WENYEVITI WA HALMASHAURI

    June 27, 2022
  • View All

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
More Videos

Quick Links

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Related Links

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Location Map

Contact us

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    Postal Address: 1923 Dodoma - Tanzania

    Telephone: +255 262 321 234

    Mobile:

    Email: ps@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Started on: 27th. July 2015
click here

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.