• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Contact us |
    • FAQ |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

The United Republic of Tanzania

President's Office - Regional Administration and Local Government

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Mpango Miji Mkakati (TSCP)
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
    • Miongozo ya Kilimo
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)

SERIKALI KUJENGA UCHUMI SHINDANI

Posted on: November 23rd, 2022

Na. Asila Twaha, OR- TAMISEMI

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Gilbert Moga amesema Serikali kupitia mpango wa maendeleo awamu ya tatu wa miaka mitano 2021/22 hadi 25/26 kwa nia thabiti imekusudia kujenga uchumi shindani wenye kutoa huduma bora kwa jamii na kuwaletea maendeleo watanzania.

Moga ameyasema hayo Novemba 23, 2022 Dodoma wakati akifungua semina ya Fedha, Utawala, Bora na Uwajibikaji kwa Mamlaka Serikali za Mitaa kwa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA), iliyobeba kauli mbiu ya wajibikaji ni nguzo ya maendeleo ya Serikali za mitaa hivyo masuala ya rasilimali fedha, uwajibikaji wa serikali za mitaa katika kutoa huduma kwa wananchi, ni muhimu katika kuwahudumia wananchi.

Ameeleza kuwa, Serikali kupitia mpango wa maendeleo awamu ya tatu wa miaka mitano 2021/22 hadi 25/26 kwa nia thabiti imekusudia kujenga uchumi shindani wenye kutoa huduma bora kwa jamii na kuwaletea maendeleo watanzania.

Alisema Serikali imekusudia kuchukua hatua mbalimbali za kuboresha miundombinu ikiwemo ya usafiri, upatikanaji wa nishati, kuendelea kuimarisha mazingira ya ufanyajibiashara na uwekezaji ili kuwezesha ushindani wa sekta binafsi.

Moga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameonesha nia ya kutatua tatizo la huduma za jamii katika Mamalaka za Serikali za Mitaa, kwa kutoa kipaumbele cha fedha za miundombinu ya huduma za jamii ikiwemo afya, elimu ya msingi na sekondari na miundombinu muhimu ya barabara, katika sehemu mbalimbali hapa nchini.“

" Mfano kwa mwaka 2022/23 jumla ya Sh. trilioni 2.99 zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo katika Halmashauri” amesema Moga

"Natoa wito  kuhakikisha fedha hizi zinasimamiwa ipasavyo na kuhakikisha thamani ya fedha inaonekana na miradi inakamilika  kwa wakati kama ilivyopangwa."

Aidha, Mhandisi Moga amesema  Serikali imeimarisha ukaguzi wa wakati hatua ambayo itapunguza upotevu wa mapato ya Serikali na kuongeza usimamizi madhubuti katika kusimamia fedha za miradi hasa fedha zinazopelekwa katika Mamalaka za Serikali za Mitaa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

"Ofisi ya Rais, TAMISEMI iko tayari kutoa ushirikiano Chama cha Wahasibu Tanzania katika masuala ya kifedha na maeneo mengine ambayo yatasaidia kuhakikisha wataalamu wetu wanajangewa uwezo kulingana na mabadliko ya tekinolojia."

Moga pia ametoa wito kwa wahasibu, maafisa manunuzi na maafisa mipango na wakaguzi wa ndani kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kwa juhudi, weledi na uzalendo ili kuongeza tija katika maeneo yao ya kazi na kusaidia Taifa kuifikia malengo yaliyokusidia.

Kwa upande wa Kaimu Mkurugenzi Msaidia Idara ya Serikali za Mitaa upande wa fedha, Ummy Wayayu aliwataka wataalamu hao kuhakikisha wanatumia mafunzo waliyopata kuongeza tija na kuleta matokea chanya katika Serikali za Mitaa.

“ Kwa hiyo uwepo wenu hapa si wa kubahatisha ni uwepo sahihi kwa hivyo tunaimami mkishatoka hapa mtaenda kuleta matunda na matokeo chanya katika Halmashauri zetu.” amesisitiza Wayayu

Naye Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA), CPA Peter Mwambija ameishukuru Serikali kwa kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa wafanya biashara lakini pia ameiomba Serikali kuendelea kuweka udhibiti wa upotevu wa fedha katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.


Announcements

  • Orodha ya waliopata vibali vya Uhamisho Septemba - Disemba 2022 (OR - TAMISEMI) January 21, 2023
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa Kidato cha Kwanza Waliorudia Mtihani January 15, 2023
  • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili na Kingereza January 14, 2023
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2023 December 14, 2022
  • Orodha ya Waliopangwa kwenye Vituo vya Kazi Kada za Afya (Awamu ya Pili) Agosti 2022 August 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • View All

Latest News

  • BODI YA MIKOPO YA SERIKALI ZA MITAA KUSUKWA UPYA

    January 23, 2023
  • MAKAMU WA RAIS AWAPONGEZA DODOMA JIJI KWA UWEKEZAJI

    January 20, 2023
  • SERIKALA YASISITIZA KILA MMOJA KUTUNZA MAZINGIRA

    January 20, 2023
  • TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKANA NA WADAU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

    January 20, 2023
  • View All

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
More Videos

Quick Links

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Related Links

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Location Map

Contact us

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    Postal Address: 1923 Dodoma - Tanzania

    Telephone: +255 262 321 234

    Mobile:

    Email: ps@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Started on: 27th. July 2015
click here

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.