• Contact us |
    • FAQ |
    • Complaints |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

The United Republic of Tanzania

President's Office Regional Administration and Local Government

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Mpango Miji Mkakati (TSCP)
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali

Serikali itaendelea kuajiri walimu kukabiliana na uhaba

Posted on: November 29th, 2021

Na Fred Kibano, Chunya Mbeya

Serikali imesema inaendelea kupunguza uhaba wa walimu katika shule zake ili kukabiriana na upungufu wa watumishi nchini kadri ya mahitaji yatakavyojitokeza hasa walimu wa sayansi.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa hii leo baada ya kuweka jiwe la msingi na kupata wasaa wa kuongea na wananchi na Viongozi katika shule ya sekondari Kipoka wilayani Chunya mkoani Mbeya.

Mheshimiwa Majaliwa amesema jumla ya walimu wa ajira mpya zilizopita kwa mkoa wa mbeya ulipelekewa walimu wapatao 336 lakini kwa nchi nzima uhaba wa walimu upo hasa kwa walimu wa sayansi na kwamba serikali itaendelea kutoa ajira hasa za walimu wa sayansi ili kupunguza upungufu wa walimu.

Amesema Serikali itapeleka vifaa vya maabara katika shule ya sekondari Kipoka ili wanafunzi waweze kusoma wao wenyewe kwa vitendo bila kutegemea usaidizi kwa kiwango kikubwa.

“upungufu tulionao mkubwa ni hasa walimu wa sayansi, lakini maabara ipo tutaleta vifaa pale kwa ajili ya maabara ya biolojia, kemia na fizikia ili kuwezesha wanafunzi 40 (kila maabara) wafanye majaribio wao wenyewe bila kukaa na mtu mwingine” alisema Mheshimiwa Majaliwa.

Kuhusu ujenzi wa mabweni ya wanafunzi amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inao mpango madhuti wa kujenga mabweni ya shule za sekondari na kwa kuanzia yatajengwa mabweni ya wasichana na kisha mabweni ya wavulana ili wanafunzi waweze kusoma na kufanikiwa zaidi kitaaluma.

Kwa upande wake Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange amesema  kwa nchi nzima Serikali imewezesha kujengwa madarasa 15,000 hapa nchini ambapo vyumba vya madarasa 12,000 ni kwa ajili ya sekondari na vyumba 3,000 ni vya shule shikizi za msingi.

Dkt. Dugange amesema kwa mkoa wa Mbeya Serikali imepeleka shilingi Bilioni 12 na milioni 280 kwa ajili ya kujenga madarasa 464 sekondari na shule shikizi za msingi164. Wilaya ya Chunya pekee 110 ambapo shule za sekondari ni vyumba vya madarasa 45 na shule shikizi vyumba vya madarasa 65.

Ametoa pongezi kwa mkoa wa Mbeya kuwa ujenzi wa vyumba vya madarasa unakwenda kwa wakati na matumizi ya bati nzuri hivyo ifikapo tarehe 15 Desemba huenda kazi yao itakuwa imekamilika na kukabidhiwa Serikalini.

Naye Mbunge wa Jimbo la Lupa Mheshimiwa Masache Njelu Kasaka ameiomba Serikali kuharakisha huduma ya maji katika shule ya sekondari Kipoka na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) ili wanafunzi na watumishi waweze kuendesha shughuli zao kwa urahisi lakini pia ameomba kuongezewa idadi ya walimu kwa ajili ya kuboresha ufundishaji.



Announcements

  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • Taarifa ya Kitengo Manunuzi na Ugavi, April 2022 April 04, 2022
  • Safeguard Documents for TACTIC Project March 30, 2022
  • Miongozo ya Operesheni Anwani za Makazi March 24, 2022
  • View All

Latest News

  • SOMO LA TEHEMA LIMERAHISISHA UTOAJI WA ELIMU MASHULENI KUPITIA MEWAKA

    May 19, 2022
  • Bashungwa apongeza ongezeko la Mishahara kwa watumishi nchini

    May 18, 2022
  • WALIMU WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA NA MAFUNZO YA MEWAKA

    May 17, 2022
  • BASHUNGWA ATOA SIKU 30 TARURA KUFANYA USANIFU WA BARABARA YA SUCA - GOLANI ILI IWEKEWE LAMI.

    May 14, 2022
  • View All

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
More Videos

Quick Links

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Related Links

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Location Map

Contact us

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    Postal Address: 1923 Dodoma - Tanzania

    Telephone: +255 262 321 234

    Mobile:

    Email: ps@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Started on: 27th. July 2015
click here

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.