• Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Contact us |
    • FAQ |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

The United Republic of Tanzania

President's Office - Regional Administration and Local Government

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Mpango Miji Mkakati (TSCP)
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Machapisho
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
    • Green and Smart Cities
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Michoro ya Ujenzi
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
    • Machaguo Kidato cha 5 & Vyuo

FANYENI KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA

Posted on: June 21st, 2022

Asila Twaha, OR TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amewataka watumishi wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI kufanya kazi kwa kuzingatia  maadili ya utumishi wa umma kwa kuwa  Wizara hiyo imabeba taswira  ya nchi.

Waziri Bashungwa amesema hayo Juni 21, 2022 kwenye Kikao kazi   na Watumishi wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ambapo kila mwaka huadhimishwa kuanzia tarehe 16-23 Juni.

Amewataka watumishi hao kuhakikisha wanatunza  siri za Serikali na kufuata  sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa Umma kwa kuwa   TAMISEMI imebeba maisha ya watanzania.

Waziri Bashungwa ameendelea kwa kuwataka watumishi hao pia kufanyakazi kwa weledi na  kujitoa katika kuwahudumia wananchi na kutojihusisha na rushwa  katika utekelezaji wa majukumu yao.

“TAMISEMI tuna jukumu kubwa la kutoa huduma kwa wananchi niwatake watumishi suala la utoaji wa huduma ni ibada tusimamie katika utendaji wa haki pasina kujihusisha na rushwa Wizara hii ni kubwa ujue ukiwa humu unatakiwa ufuate maadili ya utumishi wa Umma na imani tuwe nayo sababu sisi tunatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi wetu” amesema Waziri Bashungwa

Amesema kuwa baadhi ya  vitendo vinatokea ambavyo  ni kinyume na maadili ya utumishi wa Umma ambapo baadhi ya watu wanaharibu taswira na picha ya Ofisi hii kwa kushiriki kwenye vitendo ikiwemo kugushi barua za uhamisho  wa watumishi  hivyo, amemuelekeza  Katibu Mkuu Prof. Riziki Shemdoe  kulishughulikia kwa haraka suala hilo.

“Ninaelekeza wale wote ambao waliopata barua za uhamisho ambazo tumeshafanya uchunguzi na  sio halali warudishwe kwenye vituo vyao vya awali na kama kuna stahiki zozote walipatiwa ambapo ni fedha za Serikali zirudishwa na wachukuliwe hatua” amesisitiza Waziri Bashungwa

Kwa upande wa  Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde  amewashukuru watumishi hao kwa kuendelea kutoa ushirikiano kwa viongozi hao  kuweza kutekeleza majukumu yao ikiwa wao ni moja kwa moja wanawajibika na wananchi amewataka  kuendelea kuwahudumia wananchi kwani wana imani na Wizara hiyo.

“Imani ya wananchi ni pamoja na kuwa na imani ya Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan na sisi TAMISEMI tunawajibika moja kwa moja kwa wananchi nitoe rai kwa  watumishi  wote kufanyakazi kwa weledi kwa kuwa  tumeaminiwa hivyo tuaminike” amesema Mhe. Silinde

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais  Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amemuhakikishia Mhe. Waziri kuwa, maelekezo yote aliyoyatoa anaenda kuyasimamia ili kuendelea kuboresha utoaji wa huduma amesema wao kama watendaji watahakikisha wanaendelea kushirikiana na viongozi wa ngazi zote za Wizara hiyo ili kuendelea kuwahudumia wananchi

Akiongea kwa niaba ya watumishi Bi. Namsifu Maduhu(Afisa Utumishi Mkuu)  ameushukuru uongozi na kuahidi kutekeleza yale yote yaliyoagizwa   kwa lengo la kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wananchi.



Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (Marudio) July 20, 2022
  • TANGAZO LA KAZI - TOA July 22, 2022
  • MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA ZA AFYA NA UALIMU June 26, 2022
  • ORODHA YA WAKUU WA KITENGO CHA FEDHA YENYE MABADILIKO 5-5-2022 May 06, 2022
  • Kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa 2022 May 05, 2022
  • MUDA WA NYONGEZA MAOMBI YA AJIRA ZA TAMISEMI 2022 May 04, 2022
  • View All

Latest News

  • Utekelezaji wa Miradi ya Elimu isimamiwe na kukamilika kwa wakati- Dkt. Msonde

    August 15, 2022
  • UBUNIFU KIVUTIO UMISSETA 2022

    August 15, 2022
  • Bilioni 776.6 zaelekezwa katika ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara vijijini na mijini katika mwaka wa fedha 2022/23

    August 14, 2022
  • TARURA KUONGEZA MTANDAO WA BARABARA ZA LAMI KM 1,450, CHANGARAWE KM 73,242’ ENG. SEFF

    August 14, 2022
  • View All

Video

Taarifa ya Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri, kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/22
More Videos

Quick Links

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Related Links

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Location Map

Contact us

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    Postal Address: 1923 Dodoma - Tanzania

    Telephone: +255 262 321 234

    Mobile:

    Email: ps@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Started on: 27th. July 2015
click here

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.